Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,351
- 1,282
Wakuu habari za jioni nilikua naomba kujuzwa. Kwa kiwango hiki cha unga kilo 25 ni sawa kutumia mafuta liter 10 kwenye mapishi ya maandazi. Natumia unga wa Azam wa maandazi. Na vip hakuna maujanja ya kufanya kutumia mafuta chini ya hapo.