Msaada: Software za video editing na graphics designing kwa beginners

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,927
13,011
Msaada wakuu wa hizi kazi.
Nahitaji kuongeza ujuzi kidogo.Naombeni msaada wa software nzuri ambazo kwa mtumiaji asiye na abc skills za video editing na graphics designing anaweza jifunza.Ikiwa na ya audio editor itapendeza.

Hiyo ya graphics iwe ile ya kutengeneza posters,brochures,flyers etc
NB.Zikiwa free ndo itapendeza sana
D.corleone.
shambani=Namtumbo huku
 
Kwenye maswala ya graphic designs tafuta Adobe Illustrator na Photoshop.. Then kwenye video editing tafuta Sony Vegas hii kwa beginners ni rahisi sana, ila ukitaka ufanye kazi bora zaidi tafuta Adobe Premiere Pro.
 
Ahsante mkuu. ngoja nijifunze funze
 
kama unataka graphics kali hapa hukwepi kutumia hizi software
1.adobe illustrator cc/cs
2.photoshop cc/cs
3.adobe indesign

video editing
paid software
1.filmora wondershare
2.adobe priemire pro
3.after effects
NB.unaweza anza na portable ambazo ni freeware

free software
1 .OBS
2. shotcut
i recommend that for free.

ushauri paid software zina feature nyingi na nzuri kwa soko kama unalenga kuwa producer mzuri
 
najifunza mwenyewe,zitafaa.?
 
Msaada wakuu wa hizi kazi.
Nahitaji kuongeza ujuzi kidogo.Naombeni msaada wa software nzuri ambazo kwa mtumiaji asiye na abc skills za video editing na graphics designing anaweza jifunza.Ikiwa na ya audio editor itapendeza.

Hiyo ya graphics iwe ile ya kutengeneza posters,brochures,flyers etc
NB.Zikiwa free ndo itapendeza sana
D.corleone.
shambani=Namtumbo huku
Mimi nakushauri anza na photoshop, hii ni king of graphics design! Ukii master hiyo unaweza jifunza adobe illustrator na kama utapenda kufanya edit za video basi ongeza na adobe after effects!!

Ila kwa kuanza anza photoshop then illustrator!!
 
Naomba mwenye utaalamu wa link ambayo ninaweza kupata adobe cs6 master collection crack anisaidie. Natanguliza shukrani

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom