Tanzania ni zaidi uijuavyo jamani.
Nyamafu? unataka kuniambia kila mikoa ina mawaziri? shinyanga kuna vichwa vingapi?Suala hapa siyo competence ye mtu bali ni taratibu zetu. kwa desturi uteuzi wa mawaziri unazingatia kubalance pia mikoa. Kama asingemteua Maselle unadhani kuyoka Shinyanga angemteua nani?
ndo huyu huyu, ambaye 2015 nguvu zake za giza zitakutakuna na nguvu ya umma.C huyu wanasema mtaalam wa nguvu za giza? Au yule muigizaji?
Napatwa na hasira jamani!!!! chuki dhidi ya ccm!!!
kwi kwi kwi . . .sasa nimeamini kuna uhusiano mkubwa wa kuuza vocha na kuwa waziri wa nishati na madini, hata ngeleja si alikuwa muuza vocha wa vodacom!!! kumbe na masele alikuwa wa tigo!!
sasa nimeamini kuna uhusiano mkubwa wa kuuza vocha na kuwa waziri wa nishati na madini, hata ngeleja si alikuwa muuza vocha wa vodacom!!! kumbe na masele alikuwa wa tigo!!
WADAU,
Inasemekana hivi karibuni Mhe. Masele aliitisha mkutano ili aweze kuongea na wapiga kura wake lakini wananchi wachache sana walihudhuria na kusababisha mkutano kuahirishwa.
Naomab niluze hivi kazi ya Prof. Mwandosya itakuwa ni ipi katika baraza kiraka hili? sielewi mantiki ya kuwa na waziri asiye na wizara!
mambo ya ngonswe bwana, na yule prof. Ni ndugu yake? Hivi mnasoma hizo publication zake lakini? Kazi ya naibu ni kumshauri waziri na sio kulinda maslahi ya mtoto wa rais. Muhimu ni kufuatilia ngumbaru anawezaje kumshauri prof.