Kwa uongo huu, Lissu amefeli pakubwa

Kwa uongo huu, Lissu amefeli pakubwa

Kuna ujumbe unaosambazwa katika makundi ya WhatsApp na wanachama wa Chadema Jimbo la Namtumbo unaodai kuwa nabii THABO MASENYA wa nchini Afrika Kusini ametoa unabii wake unaodai kuwa Lissu ameandaliwa mpango wa kuuwawa.

Jambo hili ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na Lissu pamoja na kikundi chake cha watu wachache ndani ya
CHADEMA kwa lengo la kumtetea Lissu kwa kitendo chake cha kutoshiriki mikutano ya hadhara kanda ya nyasa inayotarajiwa kuanza tarehe 13/10/2023.

Lengo la kusambazwa kwa ujumbe huo ni kuwaaminisha wananchi na wanachama wa chadema kuwa Lissu hatoshiriki mikutano hiyo kwa kuwa yuko nje ya nchi kwa ajili ya kujiokoa na mpango wa kuuwawa.

Ijulikane kuwa Lissu ana uraia wa nchi mbili, Tanzania na Ubelgiji. Hivyo ana watumikia mabwana wawili yaani Chadema na pamoja na wazungu waliompatia uraia kwa maslahi yao binafsi. Tunajua ni vigumu kuwatumika mabwana wawili.

Lissu yupo nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuchukua maelekezo ya mabwana zake hususan yale ya kutumwa kurejea nchini na kuendelea kuendesha siasa zinazochochea vurugu, baada ya zile siasa zake za awali kugonga mwamba kabla ya kuamua kuondoka nchini.

Lissu hawezi kudhuriwa akiwa nchini kwa kuwa Serikali ilimuhakikishia usalama wake. Hata hivyo, katika kipindi chote alichofanya mikutano ya hadhara ambayo iliyojaa upotoshaji, kuchochea vurugu na kuwatusi viongozi wa Serikali lakini hakuna hata chembe ya dalili ya tukio la kujaribu kumuua lililofanyika.

My take kwa Chadema

Chadema kuweni makini na Lissu pasi na shaka hayuko pamoja nanyi katika kukikuza na kukiimarisha chama chenu kwa kuwa amefikia hatua ya kutoa sababu za uongo ili asihudhurie mikutano yenu.

Lissu siyo mwenzenu hii iko wazi kwa kuwa amekuwa akiendesha siasa za vurugu tofauti na siasa zinazofanywa na mwenyekiti wake Mbowe. Hii inaonesha wazi kuwa hatahudhuria mkutano huo ikiwa ni mpango wake wa kupinga siasa za Mbowe.

My take kwa Watanzania

Watanzania wenzangu tumpuuze Lissu. Tuendelee kudumisha Amani na Umoja wetu.
Hujaweka namba za SIMU
 
Hawa watu hasa makamba ni hatari sana kwa ustawi wa taifa hili
Kwa sasa yuko huku
IMG-20231008-WA0008.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All this crap for what?
 
Ili tukuamini mkuu, maana inaonekana unamfahamu vizuri ndugu Lisu. Naomba utuwekee bayana ushahidi wa tuhuma zako dhidi ya Ndugu Lisu:

1. Hadidu rejea kikundi hiko, naona utakuwa ulishiriki kwenye kikao Chao.

2. Utuwekee hapa nakala ya passpoti na kitambulisho cha hiyo nchi ya pili.

3. Weka hapa cheti cha ndoa au makubaliano ya mahusiano yake na hao mabwana unaowasema.

4. Leta hapa Hadidu rejea ya kikao cha kumpa maelekezo ya kuja kufanya huo uchochezi na vurugu

5. Utueleze vizuri kwanini polisi hawaja mchukulia hatua yoyote kuhusu hizo vurugu na uchochezi akiwa kwenye mikutano kabla ya kuondoka nchini.

6. Tuambie tufahamu kama wewe ni Mlinzi wake hadi unajua hakuna wa kumdhuru.

7. Unafikiri kati ya wewe na wanachadema ni nani Lisu anaweza kusikiliza ushauri wake?

Ndugu chuki humuumiza mwenye nayo, pambana na hali yako!
 
aje tu ajifanyie siasa zake za kistaarabu bila kutukana mtu.
Amewahi kutukana mtu kwani? Na unajua kutukana mtu mwingine ni kosa kisheria? Kuna wakati wowote amewahi kushitakiwa kwa kutukana mtu yeyote na kuhukumiwa?

Mantiki ya maswali haya ni kukuonesha kuwa wewe ni mwongo, unadanganya. Na kama unabisha thibitisha hoja yako kwa kujibu maswali hayo kwa usahihi..
Awamu ya sita ni awamu ya wachamungu..
Mmmh🤔🤔🤔. Sio kwamba hii ni kinyume chake?
huyu amekwisha Pima upepo na kuona hawana hoja za kimsingi kwa watanzania wa leo.
Unajifariji sana ndugu Crocodiletooth..

Wenzio wanatamani wafanye tena jaribio la kumuua na safari hii labda kwa kutumia LPG na sio SMG tena ili wampoteze mazima. Nyundo anazowaponda nazo mnaishia kusema tu kuwa "anatukana huyu..."

To cut it short bro, ni kuwa, Tundu Lissu ni dhahabu ya Tanzania kwa sasa. Anakubalika kuliko mama yako alivyokubalika kwa baba yako hata akamuoa..!!

I'm sorry if anyhow have offended you..

Thank you, Good night.
 
Kuna ujumbe unaosambazwa katika makundi ya WhatsApp na wanachama wa Chadema Jimbo la Namtumbo unaodai kuwa nabii THABO MASENYA wa nchini Afrika Kusini ametoa unabii wake unaodai kuwa Lissu ameandaliwa mpango wa kuuwawa.

Jambo hili ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na Lissu pamoja na kikundi chake cha watu wachache ndani ya
CHADEMA kwa lengo la kumtetea Lissu kwa kitendo chake cha kutoshiriki mikutano ya hadhara kanda ya nyasa inayotarajiwa kuanza tarehe 13/10/2023.

Lengo la kusambazwa kwa ujumbe huo ni kuwaaminisha wananchi na wanachama wa chadema kuwa Lissu hatoshiriki mikutano hiyo kwa kuwa yuko nje ya nchi kwa ajili ya kujiokoa na mpango wa kuuwawa.

Ijulikane kuwa Lissu ana uraia wa nchi mbili, Tanzania na Ubelgiji. Hivyo ana watumikia mabwana wawili yaani Chadema na pamoja na wazungu waliompatia uraia kwa maslahi yao binafsi. Tunajua ni vigumu kuwatumika mabwana wawili.

Lissu yupo nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuchukua maelekezo ya mabwana zake hususan yale ya kutumwa kurejea nchini na kuendelea kuendesha siasa zinazochochea vurugu, baada ya zile siasa zake za awali kugonga mwamba kabla ya kuamua kuondoka nchini.

Lissu hawezi kudhuriwa akiwa nchini kwa kuwa Serikali ilimuhakikishia usalama wake. Hata hivyo, katika kipindi chote alichofanya mikutano ya hadhara ambayo iliyojaa upotoshaji, kuchochea vurugu na kuwatusi viongozi wa Serikali lakini hakuna hata chembe ya dalili ya tukio la kujaribu kumuua lililofanyika.

My take kwa Chadema

Chadema kuweni makini na Lissu pasi na shaka hayuko pamoja nanyi katika kukikuza na kukiimarisha chama chenu kwa kuwa amefikia hatua ya kutoa sababu za uongo ili asihudhurie mikutano yenu.

Lissu siyo mwenzenu hii iko wazi kwa kuwa amekuwa akiendesha siasa za vurugu tofauti na siasa zinazofanywa na mwenyekiti wake Mbowe. Hii inaonesha wazi kuwa hatahudhuria mkutano huo ikiwa ni mpango wake wa kupinga siasa za Mbowe.

My take kwa Watanzania

Watanzania wenzangu tumpuuze Lissu. Tuendelee kudumisha Amani na Umoja wetu.
Shida siyo Tundu Lissu naona tataizo lipo kwa Walimu waliokuwa wanampatia Suspension kutokana na utukutu wake lakini wanamsamehe. Walitakiwa kumpatia adhabu ya viboko ya kuchapwa na Monitor wa Darasa.
Kwa za kunyapianyapia Mjini hapa wanasema Tundu amewahi kumgomea Baba yake kuwa yeye ni Baba yake. Na alimtaka athibitishe pasipo na shaka kama kweli ni Baba yake 🤣🤣🤣🤣🤣 Infact Tundu are disturbing situation of Innocent People ✈️✈️⛸😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom