Kwa ujenzi wa Gharama Nafuu!!

Kwa ujenzi wa Gharama Nafuu!!

Nashukuru kwa swali zuri, tunaposema gharama nafuu tuna maana ya materials za bei nafuu lakn zinazodumu/imara..'cheap & Durable'. pia usimamiz wa kitaalamu, kumbuka usimamiz wa kitaalamu ni kuhakikisha materials hazipotei na kaz kwenda kwa hatua 'phases'. Usimamiz mzur hutokana na uaminifu ambapo hii hupelekea kujenga kwa gharama nafuu na mda mfupi, Karbuni sana waungwana,!

Tanzania hatuna kiwango maalumu cha kupima kipato cha mtu especially walio kwenye sekta binafsi...mathalan unakuta mtu aliyejiajiri mwenyewe kwenye genge lake ana kipato cha kuaminika kuliko aliye kwenye ajira rasmi!

Tuambie huo upembuzi yakinifu uliofanya, kwamba unafanyaje feasibility study, ni nani atabeba gharama za kuandaa michoro kulingana na mahitaji ya mtu,ni vipi utabeba gharama za ushauri kwa maeneo korofi kiujenzi na huo ujenzi wa bei nafuu unamsaidiaje mtu aliye mbali na upatikanaji wa madini ya ujenzi kama jabali,mchanga kokoto na ama aliye sehemu isiyo rafiki kimiundombinu!
 
Tunatoa Huduma za ujenzi mbalimbali ikiwemo:
1.Majengo
2.Site Levelling
3.Landscape construction (Garden, swimming pools etc)
4.Interior design construction
5.Outdoor & Indoor finishing etc
*Awali tunakuandalia gharama za ujenzi ili upate kujua mchanganuo wa kaz yko (Workbreakdown structure).
*Ramani pia tunatengeneza.
*Tuna timu nzuri ya mafund mbalimbali. Wasiliana nasi kwa no.
0713805750 (watsap) & 0765141027. Karibuni tujenge Pamoja!!

Weka picha. Kuna designs zingine zinapunguza nguvu za kiume!.
 
Tunatoa Huduma za ujenzi mbalimbali ikiwemo:
1.Majengo
2.Site Levelling
3.Landscape construction (Garden, swimming pools etc)
4.Interior design construction
5.Outdoor & Indoor finishing etc
*Awali tunakuandalia gharama za ujenzi ili upate kujua mchanganuo wa kaz yko (Workbreakdown structure).
*Ramani pia tunatengeneza.
*Tuna timu nzuri ya mafund mbalimbali. Wasiliana nasi kwa no.
0713805750 (watsap) & 0765141027. Karibuni tujenge Pamoja!!
kaka unaweza nitumia quotation ya drawing hyo? site ipo mbezi kwa Yusuph.
 
Attachments

kaka unaweza nitumia quotation ya drawing hyo? site ipo mbezi kwa Yusuph.
Ndio mkuu inawezekana, ni katika 'construction phases' zote yaan Foundation phase, walling phase n.k karbu no zpo mezan tuongee ili nianze kukuandalia Quotation ya nyumba yako, Karbu sana.
 
Back
Top Bottom