Kwa ujenzi wa Gharama Nafuu!!

Ujenzi nafuu 01

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
314
26
Tunatoa Huduma za ujenzi mbalimbali ikiwemo:
1.Majengo
2.Site Levelling
3.Landscape construction (Garden, swimming pools etc)
4.Interior design construction
5.Outdoor & Indoor finishing etc
*Awali tunakuandalia gharama za ujenzi ili upate kujua mchanganuo wa kaz yko (Workbreakdown structure).
*Ramani pia tunatengeneza.
*Tuna timu nzuri ya mafund mbalimbali. Wasiliana nasi kwa no.
0713805750 (watsap) & 0765141027. Karibuni tujenge Pamoja!!
 
Weka samples ya kazi mlizokwishafanya
sawa kabisa zipo nying tu sample za "before and after.." ila Ku appload sipati zile options za Ku appload, napenda kuziweka sample ili tangazo litimie ila ndo hvi..karibu watsap 0713805750 ntakupa sample mkuu..asante!
 
download jamii forum app au tapatalk
 
sawa kabisa zipo nying tu sample za "before and after.." ila Ku appload sipati zile options za Ku appload, napenda kuziweka sample ili tangazo litimie ila ndo hvi..karibu watsap 0713805750 ntakupa sample mkuu..asante!
kwa wale ambao hawako whatsapp mtatusaidiaje nasi tuweze kuona hizo samples mkuu?
 
Project zenu inaweza cost sh ngapi minimum
Mkuu hapo itategemeana na aina ya mradi na eneo lilivyo, mf. unaweza kuta eneo lipo "slopy" sasa hapa gharama ni tofaut kwa eneo ambalo ni "flat" kujua site ilipo pia inachangia kwan kuna materials baadhi ya maeneo ni tofaut. na kikubwa zaidi ni lazma tukufanyie "estimations" za ujenzi wako kupitia Raman yko. Karbu sana mheshimiwa!
 
kwa finishing zote za ujenz yan "Ndani, nje, Tilling, metal works, gardening n.k" tuone tukufanyie kwa gharama nafuu pasipo wewe mwenyew kuhangaika na usimamiz, Karbuni!!
 
Mkuu me naishi kijijini flan lkn senta yake nzuri kibiashara nimewaza kujenga kagorofa moja ambako katakuwa na frem 3 za vibanda kila kimoja kiwe na sm ur sm 240 up sm 240 kila fremu pia iwe nachumba kimoja chenye up wa sm 240 na ur sm 360 na seble iwe na up wa sm 270 ur 360 na juu kuwe kuna vyumba vya kulala 4 selfu na kibanda kimoja cha biashara .mkuu nipe ushauri hapa gharama za kupata raman utaratibu wa kupata kibali cha ujenzi nguzo zitahihitajika ngapi na nondo tan ngap na mengineyo natanguliza shukulan.
 
Back
Top Bottom