Kwa ujenzi wa Gharama Nafuu!!

Kwa ujenzi wa Gharama Nafuu!!

Mkuu me naishi kijijini flan lkn senta yake nzuri kibiashara nimewaza kujenga kagorofa moja ambako katakuwa na frem 3 za vibanda kila kimoja kiwe na sm ur sm 240 up sm 240 kila fremu pia iwe nachumba kimoja chenye up wa sm 240 na ur sm 360 na seble iwe na up wa sm 270 ur 360 na juu kuwe kuna vyumba vya kulala 4 selfu na kibanda kimoja cha biashara .mkuu nipe ushauri hapa gharama za kupata raman utaratibu wa kupata kibali cha ujenzi nguzo zitahihitajika ngapi na nondo tan ngap na mengineyo natanguliza shukulan.
Mkuu kwanza kabisa ni lazima upate ramani kamili Architectural drawings na Structural drawings kwa kuwa ni ghorofa. baada ya hapo ndio zinafuata shughuli za kibali manispaa.. na pia baada ya kukamilisha hii michoro ndipo utajua gharama za ujenz, site iko wapi!!? karibu sana kwa ushaur zaid, no zpo mezani.
 
Asante mkuu kama nilivyo eleza awali site ipo kijijin pia niliuliza raman kama hiyo itapatikana kwa bei gani
 
Mpo wapi! na hizo gharama nafuu ni zipi? kwa mfano nyumba yangu inahitaji finishing tu…
 
Mpo wapi! na hizo gharama nafuu ni zipi? kwa mfano nyumba yangu inahitaji finishing tu…
Tupo dar es salaam, na popote Tanzania tunafika kwa makubaliano, mkuu hzo gharama ni kutegemea na aina ya jengo lako lilivyo, pia aina ya "materials" utakazohitaji, kwan kuna materials ambazo ni zinahtaj umakin kufunga na hata kuchonga, kubeba n.k Karbu boss!!
 
Hii lugha 'gharama nafuu' nadhani ni common term sasa! kwanini msiwaambie watu hiyo gharama nafuu inawezekanaje? Kwamba mtatumia material yenye strength hafifu,mtawajengea kwa hasara ama ni vipi? maana NHC nao wana hii kauli mbiu yenu ya nyumba nafuu of which utakuta nyumba ya vyumba viwili na facility nyingine inauzwa kwa milioni 40 ila waanaita gharama nafuu!
 
Akikujibu niite...
 
Nashukuru kwa swali zuri, tunaposema gharama nafuu tuna maana ya materials za bei nafuu lakn zinazodumu/imara..'cheap & Durable'. pia usimamiz wa kitaalamu, kumbuka usimamiz wa kitaalamu ni kuhakikisha materials hazipotei na kaz kwenda kwa hatua 'phases'. Usimamiz mzur hutokana na uaminifu ambapo hii hupelekea kujenga kwa gharama nafuu na mda mfupi, Karbuni sana waungwana,!
 
Back
Top Bottom