agprogrammer
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 468
- 360
Inauma sanabad,bad ever ...!,kwa nini asingeuimarisha UWANJA wa mwanza kwa 100%,au kabisa kuufanya wa kimataifa...ukaudumia na Serengeti.../ madege makubwa ya kitalii yakaweza kutua mwanza.
Kwa akili zangu ndogo sana
atakapomaliza mda wake na
ndio utakuwa mwisho wa
uhai UWANJA huo,
•HIVI HAKUNA WASHAURI
WA MAMBO YA AINA HII./
ILI KUTUOKOA NA HASARA
ZISIZO ZA LAZIMA?