flagship
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,641
- 1,189
Ikiisha itakuwa poa
Yeap.
Ikiisha itakuwa poa
Yeah, wasukumaHivi Kahama wanatoka watu gani? Ni Wasukuma pia?
YapHivi Kahama wanatoka watu gani? Ni Wasukuma pia?
Ile ya Kigoma unazungumzia kale ka kipaza sauti au kile choo mkiingia watu 7 kinakuwa kimejaa? Au unasemea geti la kuingilia waenda kwa miguu na utaratibu wa kijinga?Ya Kigoma unaijua?
Huo ni mkoa wa pembezoni na kwa eneo la stendi hiyo linawatosha. Mahitaji yaki pile up kama ilivyo morogoro utarudi humu umejaa povu kwa malalamikoAliyefika stendi ya Kigoma nafikiri atakuja kuwaeleza jinsi stendi hiyo ilivyojenga kistadi
Wengine hawana "l" wana "r" eg wakurya.Huyo ni msukuma hawana "r"
Hapana. Kahama ni wanyamwezi, siyo wasukuma. Hakuna kabila linaloitwa wasukuma. Kwenye hii jamii ambayo ni complex yenye lugha inayofanana lakini yenye tofauti ndogondogo kutegemea na eneo, ambayo ina watu takribani million 20 kati ya jumla ya watanzania milioni 50 kwa sasa:Yeah, wasukuma
Ya misuna?[emoji15] [emoji57]kuna ya singida piaa inakimbizaa
stendi ya KigomaAliyefika stendi ya Kigoma nafikiri atakuja kuwaeleza jinsi stendi hiyo ilivyojenga kistadi
Huyo atakuwa anahisi ni msamvu ya 2009 ile. Sahivi kwa stand kali hakuna inayopakuta msamvu nchi nzima!Sasa wewe ya Msanvu unaijua? Au unaisikia
Hii stand kawaida kama ya tanga tuKama ujenzi utakwenda kama ulivyo kwa stendi Kahama nafikiri ndio itakuwa stendi bola zilizowahi kujengwa hapa Tanzania
![]()
![]()
Pichakuna ya singida piaa inakimbizaa
Tatizo lake ya KG haijui.Jana tu nimepita hapo Msamvu Bus Terminal Morogoro natokea Bukoba. Au Msavu ya wapi?
Kama ujenzi utakwenda kama ulivyo kwa stendi Kahama nafikiri ndio itakuwa stendi bola zilizowahi kujengwa hapa Tanzania
![]()
![]()
Kama ujenzi utakwenda kama ulivyo kwa stendi Kahama nafikiri ndio itakuwa stendi bola zilizowahi kujengwa hapa Tanzania
![]()
![]()