Kwa ujenzi huu wa stendi Kahama

Kwa ujenzi huu wa stendi Kahama

Ni ming sema wew unaujua huo wa acaccia hata ya wachimbaji wadogo n migodi n wanalipia kodi
Nni aliyekwambia mimi najua migodi ya Kahama?, mi nimeuliza Kahama wana migodi mingapi?, kama ya wachimbaji wadogo mbona Geita imejaa sana?
 
. Kutoka pale wakakuta jamii ambayo ni waongeaji sana lakini wanachoongea wala hakieleweki kabisa. Wakawaita Walugulu. Hatimaye wakafika pwani, wakakuta jamii ya tujitu tufupi lakini twenye uwezo wa kuzamia majini na kusafiri hadi visiwa vya Pemba na Unguja vikitumia ngalawa. Vijitu hivi wakaviita Vizaramo. Wakavifanya urafiki ili viwafundishe kuzamia kwenye hiyo bahari. Vizaramo vikawauliza "Nyie mnatokea wapi haswa?". Wakajibu " Mbali Kuleee!!! Unyanyembe" wakisota magharibi. Vizaramo vikauliza, "Kule ambako mwezi huwa unatoka?". Wakajibu "Ndiyo". Basi kuanzia hapo Vizaramo vile vikawa vinawaita watu hawa Wanyamwezi badala ya wanyanyembe -- yaani kumbe hawa jamaa ndiyo hunya ule mwezi unaotokeaga kule.
ha ha haa..mkuu( bila shaka ni mnyamwezi), lengo lako kuu lilikuwa kututania tu siye wazaramu na waluguru...haya wasalimie unyanyembe
 
ha ha haa..mkuu( bila shaka ni mnyamwezi), lengo lako kuu lilikuwa kututania tu siye wazaramu na waluguru...haya wasalimie unyanyembe
Ni ukweli mtupu, mtani wetu. Ndiyo historia ya kule tulikotoka. Bahati mbaya historia hii haifundishwi mashuleni na wala haijapewa uzito kuandikwa kwenye vitabu.

Utani unaoitwa wa jadi kati ya wanyamwezi na makabila haya unatokana na historia hii ya kweli. Wanyamwezi hawa katika safari hizo za ku explore dunia hazikuishia pwani ya Wazaramo na visiwa vya Pemba na Unguja tu bali ziliendelea hadi maeneo ya Tanga wakakuta jamii ya wanaume wanaosambaa wakiwaona wanyanyembe hawa na kuwaachia wanawake wao. Hawa wakawaita Basambara. Kutoka Tanga Wanyanyembe hawa wakafika hadi kwa jamii waliyoiita Wapare kwa tabia yao ya kupara mahindi ili kupata makande. Wanyanyembe hawa walifika hadi maeneo ya Iringa wakaiita jamii hiyo Wahehe (wapenda kuheha), wakafika maeneo ya Mbeya wakaiita jamii ya kule Wanakusya (watu wakusaga unga). Walielekea kusini hadi kwenye jamii walizozita Bamakonde, Bayao nk (majina yote ya makabila haya ni ya maneno ya kinyamwezi yenye maana fulani). Wote hawa wamebaki kuwa watani wa jadi wa Wanyamwezi.
 
Acheni kubweka tu ,kila aongeae aweke picha za stand anayoitetea tuone.
 
Umeiona ya korogwe?
Kahama mjini inaitwa Korogwe. Hii ndiyo korogwe original. Katika exploration expeditions za Wanyamwezi hawa kwenye hiyo karne ya 16 walipofika maeneo ya wasambaa walianzisha mji wao waliouita pia korogwe. Hivyo katika kuenzi historia hii, stendi hii ya Korogwe original ni photocopy ya stendi ya Korogwe feki.
 
Ujenzi wa Stand mpya Kahama eneo la Mbulu umeanza?
 
Ujenzi umefikia asilimia ngapi hadi hii Februari 2023?

Tunaomba picha pia.
 
Back
Top Bottom