Kwa ujenzi huu wa stendi Kahama

Kwa ujenzi huu wa stendi Kahama

Ulishawahi tembelea mkoa mwingine wowote zaidi ya Shinyanga.
Ndio mi nipo moro na mikoa niliyotembelea haina stend kama ya moro kwa huku afrika mashariki nafikiri inaweza ikawa ni moja ya stand bora na ya pili ktk stand nilizowahi kuziona nyingine iko nairobi kwa tz ni hii tu ya hapa morogoro.

uliza tena.
 
Aliyefika stendi ya Kigoma nafikiri atakuja kuwaeleza jinsi stendi hiyo ilivyojenga kistadi
 
tembea one
nenda msamvu utaona palivyo halafu linganisha na hizo picha zako
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimezunguka mikoa yote Tanzania bara, ni Stendi Kuu ya Kigoma ndio stendi ya kisasa zaidi nchi hii. Inafuatia ya Stendi mpya Tanga, inakuja Msamvu na ya Mawasiliano Ubungo.
Kwa Kigoma nakubaliana na wewe
 
Kahama hilo ni wazo hata tone la ujenzi halijaanza. Sikh zote Tanzania vitu ktk makaratasi na computer huwa ni best . in reality sasa. Muhudumu ongeza glass
 
Ndio mi nipo moro na mikoa niliyotembelea haina stend kama ya moro kwa huku afrika mashariki nafikiri inaweza ikawa ni moja ya stand bora na ya pili ktk stand nilizowahi kuziona nyingine iko nairobi kwa tz ni hii tu ya hapa morogoro.

uliza tena.
Sa hiyo ya Kahama unaweza lingana na ya Msamvyu?!
 
Unababaika na mapicha picha, wasukuma tutaacha lini kuaibisha?
 
Kama ujenzi utakwenda kama ulivyo kwa stendi Kahama nafikiri ndio itakuwa stendi bola zilizowahi kujengwa hapa Tanzania
50525183ce4d0bedd61b3eaa7bd5d53a.jpg

03ac6712c5295db38777ad45c9dc5958.jpg
Umewahi fika hata morogoro au mwisho wako igunga
 
  • Thanks
Reactions: PNC
kuna ya singida piaa inakimbizaa
Weee,, li stendi gani hilo na wewe? Limejengwa Kisukuma mno! Stendi bora kwa sasa hivi hapa nchini ni Msamvu Moro na Korogwe! Stendi ya Singida haina tofauti na ya Tanga pamoja na ya Kigoma. Tanzania nzima stendi inayokimbiza ni Msamvu-Morogoro.
 
Back
Top Bottom