Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,167
Msamvu mwanangu haina mpinzani!! Watasubiri sana!!Korogwe ndio stand bora kabisa kwa sasa, inafuata msamvu
Msamvu mwanangu haina mpinzani!! Watasubiri sana!!Korogwe ndio stand bora kabisa kwa sasa, inafuata msamvu
Weee,, li stendi gani hilo na wewe? Limejengwa Kisukuma mno! Stendi bora kwa sasa hivi hapa nchini ni Msamvu Moro na Korogwe! Stendi ya Singida haina tofauti na ya Tanga pamoja na ya Kigoma. Tanzania nzima stendi inayokimbiza ni Msamvu-Morogoro.
ahahaha aiseeProduct za CCM
Afu walichakachua haikustahili kuwa vilekuna ya singida piaa inakimbizaa
Nimezunguka mikoa yote Tanzania bara, ni Stendi Kuu ya Kigoma ndio stendi ya kisasa zaidi nchi hii. Inafuatia ya Stendi mpya Tanga, inakuja Msamvu na ya Mawasiliano Ubungo.
Weka picha ya msamvutembea one
nenda msamvu utaona palivyo halafu linganisha na hizo picha zako
Ikiisha itakuwa poaKatavi Bus Terminal
Majizi ya mkoa huu sidhani kama mtayaweza maana kwa tunguri hayajambo!Mtapigwa mchana mchana na stendi itajengwa kwa kiwango cha stendi ya Shinyanga na hamtafanya lolote!Kwanza ramani tu yenyewe ni ya hovyo hovyo tu bila hayo mabasi ya rangi rangi na ya kisasa picha isingevutia kabisa!Hiki kijumba kama cha car wash ndiyo sehemu ya abiria?Kama ujenzi utakwenda kama ulivyo kwa stendi Kahama nafikiri ndio itakuwa stendi bola zilizowahi kujengwa hapa Tanzania
![]()
![]()
Huyo ni msukuma hawana "r"
Hii nayo stendi ya kulinganisha na stendi ya Msamvu? Hebu tuache utani bwana!!Mpanda
Hii nayo stendi ya kulinganisha na stendi ya Msamvu? Hebu tuache utani bwana!!
Tatizo stendi zote ni za kipuuzi..ni substandard sana...stendi hazifunikwi juu...mvua ikinyesha tabu tupu...stend inafunguliwa leo baada ya miez miwili ni mashimo tupu..taa zimeharbika..vyoo vinatapisha mavi...kiufupi bado hakuna stend bora Tanzania
Tupate picha tafadhali!Ya Kigoma unaijua?