ANDREW JOSEPH
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 422
- 405
Kama ujenzi utakwenda kama ulivyo kwa stendi Kahama nafikiri ndio itakuwa stendi bola zilizowahi kujengwa hapa Tanzania
stendi Bola>>>stendi boraKama ujenzi utakwenda kama ulivyo kwa stendi Kahama nafikiri ndio itakuwa stendi bola zilizowahi kujengwa hapa Tanzania
Huyo ni msukuma hawana "r"stendi Bola>>>stendi bora
kuna ya singida piaa inakimbizaaKama ujenzi utakwenda kama ulivyo kwa stendi Kahama nafikiri ndio itakuwa stendi bola zilizowahi kujengwa hapa Tanzania
Weka picha tuoneKama ujenzi utakwenda kama ulivyo kwa stendi Kahama nafikiri ndio itakuwa stendi bola zilizowahi kujengwa hapa Tanzania
Kama ujenzi utakwenda kama ulivyo kwa stendi Kahama nafikiri ndio itakuwa stendi bola zilizowahi kujengwa hapa Tanzania
Weka picha za ujenzi unavyoendelea
akiziweka unitag..Weka picha za ujenzi unavyoendelea
anhaa kumbeHuyo ni msukuma hawana "r"
Poaakiziweka unitag..
Ya Kigoma unaijua?Stand nzuri kuriko zote Tanzania ni Msamvu-Morogoro
Sasa wewe ya Msanvu unaijua? Au unaisikiaYa Kigoma unaijua?
Jana tu nimepita hapo Msamvu Bus Terminal Morogoro natokea Bukoba. Au Msavu ya wapi?Sasa wewe ya Msanvu unaijua? Au unaisikia