Kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi ya kusoma UDSM main kampasi?

Moderator wamekosea sana kumfungia, alikuwa anaongea ukweli kuhusu changamoto za walimu Tanzania, bila kujali ni njia gani anatumia kuwalikisha ujumbe wake.
 
Kajiunge naye
Pole Mwalimu,
Sielewi kwanini mnachukia mtetezi wenu.
Amekuwa anajaribu kuuelimisha jamii na kufikisha ujumbe kwa serikali, maana hata Wizara ya Elimu haiwezi kutatatua changamoto zenu, ni Serikali kuu ndio inatakiwa ijue shuruba mnazopitia
 
Akutetee wewe

Na tushamunyoosha
 
Nina GPA ya 2.7 ktk undergraduate kutoka UDOM, nimeapply DUCE level ya Masters, ninaweza kupata nafasi?
 
Back
Top Bottom