Kwa ufaulu huu naweza kupata electronic and telecomunication?

Mchawi wako ni huyo hesabu,
Nashangaa hapo juu kuna wazeee wanampoteza dogo wao wamesoma miaka ya nyerere hata kiswahili unakuwa
daktar!!
Now days hata certificate ya engineer yoyote inahitaji ufaulu wa MATHEMATICS!!
Na hata akiunga mitaani kufika diploma itamkost na degree pia atabanwa mbavu
Kama nataka kwenda amazon or Zion hapo sawa
 
So unanishauri nikarisit hiyo math,nitafanya hivyo ila baadae
 
Hakuna namna kuanza upya si ujinga. Rudi darasani kasome kama unataka kuendelea na masomo zaidi ya kidato cha nne. Ukisoma kwa bidii hata kwa miezi 6 ukapiga NECTA huwezi kukosa C kwa kila somo.
 
So unanishauri nikarisit hiyo math,nitafanya hivyo ila baadae
Rejea mabandiko yangu tangu mwanzo!!
Unaweza geukia plan B then mbelen ukajiendeleza ila ukisubiri KUDANGANYWA kusoma certificate utapotea dogo! Na bahat mbaya elmu yet unaijua mwenyew
 
Back
Top Bottom