Mwaga ubuyu hapa hapaNichek private nikupe muongozo
Kaleta topic apate msaad so unione mhucka nimsaidieMwaga ubuyu hapa hapa
Kuliko ufanye huu ujinga bora ukaanze certificate ambayo utasoma mwaka mmoja, then uende diploma!! Acha kupoteza muda!!Naweza jisajili kufanya paper mwaka huu as a private candidate (inaezekana)?
Next time usirudieNimeshakuja PM mkuu,kama vipi tuwasiliane kabisa +255756630987
I think huu ushauri ni mzuri na unafaa.Kuliko ufanye huu ujinga bora ukaanze certificate ambayo utasoma mwaka mmoja, then uende diploma!! Acha kupoteza muda!!
Sina uzoefu na vyuo vya certificate,ila komaa upate vya seriakali..I think huu ushauri ni mzuri na unafaa.
WindofMoney nashukuru kwa ushauri wako mzuri.
Sasa nitajiandaa kwenda kuchulia certificate ya ICT.
Je,nichuo gani mnanishauri niende kusomea?
All in all thanks kwa ushauri wenu
ThanksSina uzoefu na vyuo vya certificate,ila komaa upate vya seriakali..
Nadhan kuna kimoja ambacho ni branch ya udsm kinaitwa UCC(Google ucc tanzania) nadhan na SUA pia wana hii kozi...
Ukifanikiwa kumaliza nenda kapige diploma ya telecom pale DIT au ATC mkuu... Alafu unganisha degree kwenye vyuo hivyo hivyo maana wao kama una diploma ya uhandisi basi degree hutasoma miaka minne, utasoma mitatu!!
Ila kama ukienda tofauti na hivyo jua degree utasoma miaka minne, ofcoz its not bad!!!
NB: hizi kozi zinazohusu computer soma kama una passion nayo yaani kama unayapenda, ila kama ukisoma kwa ajili ya pesa au ajira za magu... utakufa kwa stress!!!
Karibu kwenye ulimwengu maridhawa wa wahandisi mkuu, nakutakia kila la heri!!
Ivii unazani iyoo A unaimangua kama unavochuma maembe kwa bibi akoo..... mara ya kwanza kapata f maana ake kichwani ni hewa kwa upande wa hesabu leo hii et akachukue AKwa nini usijipinde urudie kupiga Paper la Math tu aleast ufumua B au A yake?
Hesabu umeharibu, huwezi pata engineeringHabari zenu wana forum
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka Jana 2017
Nimefaulu kwa alama kama mnavyo ona hapo chini
In short nina III ya 24
- Civics D
- Geography C
- Kiswahili C
- English C
- Chemistry D
- Engineering Science D
- Mathematics F
- Electrical Droughting C
Sasa kwa ufaulu huu naweza pata chuo kwa cause ya Electronics and Telecommunications ?
Kama naweza pata ni chuo gani basi kitanifaa kwa upande wa certificate au diploma.
Itapendeza zaidi kama mtanisaidia.
Natanguliza shukrani zangu.
By: Mkorea.