Sa kafupisha utazan anachat kwenye simu!!!! Hiyo M7 si aina ya siraha jaman!!!yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii
Sa kafupisha utazan anachat kwenye simu!!!! Hiyo M7 si aina ya siraha jaman!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 559107 yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii
Na Wewe kazi kukosoa wenzio tu, 'ukura wa mbele' sio nini?
tofautisha typing error na hicho kilichoandikwa. au unataka kumaanisha na yeye ni typing error? poor you
View attachment 559107 yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii
Mtoa mada nahisi unachuki kwa kwa kuwa habari ya makonda haijawejwa kwenye font fed
Wahenga walisema nyani haoni kundule mkuuNa Wewe kazi kukosoa wenzio tu, 'ukura wa mbele' sio nini?
Ushauri unatoka kwako wewe?View attachment 559107 yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii
View attachment 559107 yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii
Na Wewe kazi kukosoa wenzio tu, 'ukura wa mbele' sio nini?
Acha roho ya umasikin,,, sijui kanuni za uandishi ..ila nachojua Mwandishi was gazeti kwanza nilazima atumie lugha itakayomlazimisha msomaji kununua gazeti ..View attachment 559107 yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii