Kwa uandishi huu kuna kila sababu ukaguzi wa vyeti kuhamia sekta binafsi

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
download.jpeg
yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii
 
Sa kafupisha utazan anachat kwenye simu!!!! Hiyo M7 si aina ya siraha jaman!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 559107 yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii

Na Wewe kazi kukosoa wenzio tu, 'ukura wa mbele' ndio nini?
 
View attachment 559107 yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii

Hii ndio athari ya kuamini vyeti na sio utendaji mwisho wa siku mashuleni wanafunzi wanakimbiza made mitihani na si uelewa
 
Front page zinaenda kimahesabu sana. Na hilo neno museveni angeliandika kama lilivyo hicho kichwa cha habari hapo kisingetosha.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Kaka hii ni taaluma na huo uandishi unaruhusiwa kutokana na mazingira flan flan ambayo yakikidhi viwango inaruhusiwa kufanya hivyo, ukiwa msomaji wa Magazeti ya nje pia hutoshangaa kuona uandishi huu...Waachie wenye taaluma yako wakosoe we endelea kukosoa maeneo ya taaluma yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 559107 yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii
Ushauri unatoka kwako wewe?
 
we mwenyewe ushatokota.badala ya Museveni umeandika Mseven badala ya kurasa umeandika kura ya mbele.ndo wale wale kina font poji
 
View attachment 559107 yaani gazeti kubwa kama Mwananchi, mwandishi badala ya kuandika Mseven anaandika M7 tena ukura Wa mbele. Haya yote ni matokeo ya wenye vyeti feki kujibanza kwenye sekta binafsi na kuendeleza madudu. Kuna kila sababu ya kugeukia upande huo ili kuwanyofoa watu Wa aina hii
Acha roho ya umasikin,,, sijui kanuni za uandishi ..ila nachojua Mwandishi was gazeti kwanza nilazima atumie lugha itakayomlazimisha msomaji kununua gazeti ..

Kwakusema M7 watu wengi wasojua maana watataman wajue M7 ninani ????? Au nikitu gani ????? Hii itamlazimisha msomaji kununua gazeti ili apate jibu LA suluhisho lake...
 
Back
Top Bottom