Kwa uandishi huu hata hoja ya kufoji vyeti inapata mashiko

Sijuwi hiyo computer na printer pia za nini ofisini kwake. Unprofessional kabisa.
Kwa ajili ya kutuma picha na majigambo insta. Au huna acc. umfollow uone anavyojua kuitumia kompyuta.
Na wakati mwingine anasikiliziaga CD.
 
Kwa ajili ya kutuma picha na majigambo insta. Au huna acc. umfollow uone anavyojua kuitumia kompyuta.
Na wakati mwingine anasikiliziaga CD.
Ndio aina ya viongozi wetu, muda wote Instagram
 
Matendo yake yatasimama daima.... Haya si matusi mkuu.....
Unaweza kutuambia unyama gani kijinsia alimfanyoa huyo mtu? Je unaweza kutupa ushahidi wa kisayansi kama unyama huo ndio ulimsababishia tatizo la tezi dume? Tusilewe sifa za kushangiliwa mitandaoni kwa kuandika maneno ya kukashifiana, wewe kama mwanaume kama mimi au marehemu Sitta basi ujue kadiri umri wako unavyoendelea ndivyo unavyokuwa na uwezekano mkubwa wa kupata shida ya tezi dume. Chances ni kubwa sana hasa na hivi vyakula na vinywaji vyetu vya kisasa. Jiangalie sana usitukane mamba kabla haujavuka mto. Na kama hutopata wewe au kama wewe sio mwanaume basi ujue babu, baba au kaka yako au ndugu yeyote wa kiume anaweza kupata hili tatizo. Haliusiani na hayo kufanyiana vibaya kijinsia.
 
Uzuri siku hz ukilinda bahari koko watu wanaogelea mbezi tegeta tanga atazuia vepee
 
Unaweza kutuambia unyama gani kijinsia alimfanyoa huyo mtu? Je unaweza kutupa ushahidi wa kisayansi kama unyama huo ndio ulimsababishia tatizo la tezi dume? Tusilewe sifa za kushangiliwa mitandaoni kwa kuandika maneno ya kukashifiana, wewe kama mwanaume kama mimi au marehemu Sitta basi ujue kadiri umri wako unavyoendelea ndivyo unavyokuwa na uwezekano mkubwa wa kupata shida ya tezi dume. Chances ni kubwa sana hasa na hivi vyakula na vinywaji vyetu vya kisasa. Jiangalie sana usitukane mamba kabla haujavuka mto. Na kama hutopata wewe au kama wewe sio mwanaume basi ujue babu, baba au kaka yako au ndugu yeyote wa kiume anaweza kupata hili tatizo. Haliusiani na hayo kufanyiana vibaya kijinsia.
Naona jiwe limekupata mkuu.... I'm sorry kama wewe ndiye..... Nilirusha gizani tuuuu sasa bahati mbaya limekupata!!
 
Aisée ina maana Makonda alipomaliza kuyasoma baadhi ya hayo majina naye kwa moyo mkunjufu kabisa akakabidhi media h houses !!??

Looh ! Hii ni kali ya mwaka !!

Wengine tulishasema kuwa, hii wala hata si vita ya madawa ya kulevya bali hii ni vita ya kisiasa na wanasiasa na bahati mbaya sana na vyombo vyetu vya dola hasa jeshi la polisi na TISS wameingizwa ktk mchezo huu wa hovyo na wa hatari wa wanasiasa wa dizaini ya Makonda kwa mgongo wa "mimi (Makonda) ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wangu"

Yaani piga ua na kisha garagaza, kwa mtindo na mwendo wa utendaji wa serikali hii chini J. Pombe watafika 2020 wakiwa dhoofu chakari wamelewa pombe zao wenyewe pamoja na madawa ya kulevya na mwisho watatumia mtutu wa bunduki kulazimisha kufanya ujinga na upuuzi wao !!
 
Naona jiwe limekupata mkuu.... I'm sorry kama wewe ndiye..... Nilirusha gizani tuuuu sasa bahati mbaya limekupata!!
Mkuu mimi sio Paul Makonda. Fuatilia comments au posts zangu kibao nimejieleza wasifu wangu hasa mambo niliyosomea na chuo nilichosomea ngazi ya bachelor degree. Makonda hajasoma UDSM na hajasoma masomo ya Science kiwango cha shahada ya kwanza. Mimi nilikuwa najaribu kukufundisha busara ila chaguo la kwako kufuata ushauri wangu au kutofuata.
 
ushaidi u wapi kama aliyeandaa haya majina ni Makonda.
kuyasoma mbele ya kadamnasi haina maana aliyaandika yeye ( maana walikaa kama kamati kuyaandaa)

nitatoa neno pale ntakapo pata ushahidi huu mwandiko ni wake.
Ukweli nasikia sauti ya kilio ktk kila kona ya Nchi. Swali langu ninani yuko tayari kuyatowa maisha yake kwaajili ya taifa?
hapa nani alimwandikia?
 
Na yeye amesema atawataja wauza unga Kwa kwenye awamu ya pili, tatu na nne huko si kufufua makaburi?

Ngoja nae tufufuwe kaburi kwani umesahau methali ya "Muosha pia huoshwa"
 
Back
Top Bottom