Kwa Tundu Lissu kurejea Nyumbani Ni kutangaza Msamaha kwa watesi wake hata bila kutamka

Lyaule Kitundu

JF-Expert Member
May 25, 2011
758
1,024
Nimezipokea Taarifa za TAL kuanza maandilizi kurejea Nyumbani kwa furaha.
Kupitia YouTube ametuonyesha akiwa kwenye mazoezi ya mwisho kutengemaa kwa mguu wake hivyo anytime from now atarudi nyumbani.

Kwa namna yeyote ile Kama binadamu ukifikia kutendwa vile alivyotendwa Tena pasipo hatua zozote kuchukuliwa tungetegemea mtu huyo kuiona nchi hii Kama sehemu isiyomuhitaji na isiyosalama kwake hivyo angeweza kutafuta ukimbizi anywhere kunusuru maisha yake awaache na nchi yenu.

Lakini kitendo Cha kurisk kote huko na kuwa tayari kuja kuishi tena katika ardhi moja na watesi wake, na kwa namna nyingine pengine kufanyanao kazi katika jengo moja, Ni tangazo zito mno la Msamaha kwao. Nikijitazama sioni Kama ningekuwa na ujasiri wa kufanya hivyo.

Nalichukulia hili sawa na mfano wa mke aliyepigika haswa na mumewe kiasi Cha kupelekwa mahututi hospitali lakini baada ya kupona badala ya kwenda kutafuta hifadhi kwa ndugu zake akaamua kurejea kwa mumewe na kuishi naye.

This is more direct way to announce forgiveness than a bunch of words while on press.
Hili sio la kubezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu nmtazam kama Misterious creature, roho yake iko beyound norma thinking ya mwnadamu. kwa Tukio lile na uzalendo wangu wote sidiliki kurudi. Maana najua nikirudi watanimliza.
Lakini Lissu anajua kuwa kitendo cha kukoswakoswa na Zile Risasi kimewakimbiza Mbli mno wtesi wake na kwmba hawawezi kurudia tena kama kweli wana akili nzuri.
 
Kurudi kwake kutatusaidia kutuhamasisha wananchi kuchukua hatua dhidi ya dikteta endapo watamfanyia tena kitendo chochote cha kijinga
 
Namshauri Lissu asirudi nchini,kama anahuruma na mwili wake abaki huko huko mpaka muda mwingine.afikirie Mara mbili mbili.je waliotaka kumuua wamepatikana?
 
Back
Top Bottom