Kwa tunaomjua Bashiru Ali, tumebaki na butwaa

Hivi ni kweli Nyerere alipigania haki na demokrasia kwenye utawala wake?
Alipigania sana.nyerere hakupenda watanzania wakionewa na watanzania tu waafrika na dunia kwa ujumla. Uwepo wa vyama vingi nchi hii ni msukumo wa Mwalimu nyerere. Watanzania walihojiwa na wengi walipendelea mfumo wa chama kimoja lakini Nyerere alikataa kwa kuona kuwa kuna haja ya kuwa na vyama vingi.
 
Kwa NINAVYO MFAHAMU DR BASHIRU ANAPITA KWENYE KIPINDI KIGUMU SANA .

Moyo wake una majeraha mazito sana ana maumivu makali ya Roho na moyo.

kufanya kazi na JIWE LAZIMA UJIVUE UTU,AKILI, UFAHAMU,UBINADAMU NK.

UVAE. ....
UONGO.
UKATILI.
ROHO MBAYA.
KUJIPENDEKEZA NK.
Nimekuelewa.
 
Kabudi na Polepole umewasahau? kifupi Tz haina wasomi. Hawa manguli kina Shivji wako kimya
Yaani nikikumbuka maneno ya polepole yule 'orijino' na wasasa naikatia tamaa siasa!

"Tanzania haina dira, hata tukipata kiongozi mchapakazi atavuruga(kufanya aliyoahidi haraka haraka) kwa miaka yake mitano-kumi anaondoka, atakayefuata anakuja na yake mapya. Hatuna dira kama Taifa ya tunayotaka kwa miaka 10,20,30"
Polepole,2015

Msikilize leo sasa baada ya kupewa cheo!
 
Mkuu ubinafsi na tamaa vinazaliwa na njaa mkuu uwezi kuwa na tamaa Kama hauna njaa angalia viongOzi wa ulaya wanajiuzuru sababu hawana njaa lakini hawa black mamba wetu mpaka wafe ni kubadili vitengo tu.
Unaweza kabisa. Mbona unamsahau Trump? Hapa ni ubinafsi na tamaa kama wale wa mbere kwa mbere!
 
... it takes time to realize you have been somebody's stepping stone! 😅
Ukimfikiria Bashiru utaumia kichwa bure. Hakuna mtawala wa sasa alikuwa anaheshimika kwa usomi wake kama Bashiru. The fall of a great man is great. Bashiru is no exception. What a pity?
Jamaa aliwaweka wawe stepping stones. Hata wakisema upuuzi unasita kung'aka. Tashwishwi inaingia akilini.Unaendesha mjadala nafsini mwako. Ukikataa kuwa Bashiru hawezi katu kunena vivyo. Unaombea akanushe upate kupumua vizuri. Hakanushi. Hana habari. Wapambe watatetea huo upuuzi wake bila mafanikio. Yeye kimya. Kama Bashiru katema riha, mwenyewe atatapika uvundo! Mapropesa na madokta wake wote hawana credibility tena. Kama ameweza kuwareach anawa-surpass na kuwa credible!! Tunabaki kulaumu Bashiru et al wakati Jiwe limetulia tuli! Limewin.
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'
Njaa na maarifa wakikaa pamoja, lazima maarifa aondoke ili njaa apate nafasi.
 
Nileteeni Mayyala, Nileteeni Mayyalaaaaa, Nileteeni Mayyalaaaaaaaa

Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'
Kwa hiyo tuseme 'Bashiru' hana tofauti yoyote na akina Halima Mdee, Ester Matiko, Ester Bulaya, Kabuti Kalamaganda na wengi wengine?

Ukitaka kupata jibu kuhusu kinachowapata wote hawa ni lazima umchambue kwa ndani zaidi anayewafanya wabadilike kiasi hiki cha kushangaza. Mtu asiyekuwa na ushawishi wowote ule wa kueleweka, lakini anawabadilisha watu waliojijengea heshima hadi kumtolea mfano wa Mwalimu Nyerere?
Tafuta jibu hapo nilipokueleza ulitafute, utalipata. Si vibaya hata ukiwaendea akina Lowassa, Sumaye na wengineo, wanaweza kukusaidia katika kupata jibu lako.

Ni watu wachache tu, kama Mbowe ndio pekee wameweza kuhimiri vishawishi vya aina mbalimbali wasiangukie kwenye njama anazotumia huyo mtu anayewabadilisha kutoka kuwa watu wenye fikra na kuwafanya kuwa mashetani.
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'
Kamshangae Halima Mdee kwanza ukimaliza ndio uhamie kwa Bashiru
 
Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikuwa Second Year.

Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwa maana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.

Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania

Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'
Kwa hakika "Kibeku alikuwa Ungo.."
 
Back
Top Bottom