Hivi ni kweli Nyerere alipigania haki na demokrasia kwenye utawala wake?Huyu Bashiru katufundisha sisi wengine Political Science pale UDSM. Mimi binafsi alinifunza Organizations Theory nadhani ilikua Second Year.
Kimsimamo Bashiru pale "the hills" hatukumtofautisha na Mwalimu Nyerere kwamaana ya kupigania Haki na Demokrasia ya kila Mwananchi wa nchi hii.
Leo hii tunashangaa Bashiru huyu anabariki uvunjifu wa Haki za Binadamu, Ubakaji wa Demokrasia na uvunjifu wa amani ya Watanzania
Hakika tutakukumbuka Bashiru Ali 'But things Will Never Be The Same Again'