Mbona hasira hivi? Wewe ndiye Bashiru nini? Kunywa maji hasira zitashuka mkuu.Yaani wewe uliyeandika hivi umefika Chuo Kikuu? Bado unaweza kutoa vitu pasipo ushahidi? Pasipo kuhusisha mamlaka yeyote ambayo ndio chanzo cha taarifa? Wewe umekuwa source with authority? Chuo Kikuu ulienda kutembea, kusoma au kusikiliza kongamano?
Toa hoja, support hoja yako na ushahidi, weka vyanzo vyenye mamlaka nini kilipaswa kiwe na wapi kimefanyika kinyume na taratibu zilivyo. Hii lopolopo isiyokuwa na chochote inakutukanisha msomi.