Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

Kweli Gambe haina muda wa kuchunguza kabisa....
Kweli mkuu maana mwanzoni nilipofika pale glosary kwake alikuwa wa kawaida tu ila baada ya kupiga safari kadhaa mixer viroba akawa anazidi kuwa mzuri,nikawa namtuma fegi mara kwa mara ili niangalie chura!
 
Daaah yaan sipat picha jinsi ulivyokuwa unasikilizia kichwa kikizama kwenye tope... Pole sana hope saiv hujaendelea na hako kamchezo cha matumiz ya KY
 
Back
Top Bottom