Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

Siwezi kusahau japo sitaki kukumbuka.Ilikuwa mwaka 2012 tar 28 february,usiku,dodoma.Nimepata demu tumekubaliana tukaondoka KWAKE.Hii ya kukubali kwenda kwake ilinigharimu,kumbe yule dada alikuwa na mumewe ila walikuwa wamdtofautiana kwa muda tuu.Nikienea nae na nikagegeda kimoja,ghafla mlango wa chumba ukagongwa hodi ghafla,na haikuwa hodi ya kawaida maana mlango ulikuwa unasukumwa kwa nguvu!alikuwa ni huyo mumewe kumbe alikuwa anatuchora toja mapema tulipokuwa maeneo anayofanyia biashara yule demu!!kilichoendelea nitawaambia baadae wakuu,(halafu wanawake,mbona nyie waongo waongo sana?kwanini msiwe wakweli jamani aaah,mnatuharibia CV).
Karibuni.
Wanawae waongo sana...demu mmoja nilienda kwake kilichonikuta acha tu!

Mpaka leo sifanyi ujinga wa kwenda kumgegeda demu kwake!
 
Siwezi kusahau japo sitaki kukumbuka.Ilikuwa mwaka 2012 tar 28 february,usiku,dodoma.Nimepata demu tumekubaliana tukaondoka KWAKE.Hii ya kukubali kwenda kwake ilinigharimu,kumbe yule dada alikuwa na mumewe ila walikuwa wamdtofautiana kwa muda tuu.Nikienea nae na nikagegeda kimoja,ghafla mlango wa chumba ukagongwa hodi ghafla,na haikuwa hodi ya kawaida maana mlango ulikuwa unasukumwa kwa nguvu!alikuwa ni huyo mumewe kumbe alikuwa anatuchora toja mapema tulipokuwa maeneo anayofanyia biashara yule demu!!kilichoendelea nitawaambia baadae wakuu,(halafu wanawake,mbona nyie waongo waongo sana?kwanini msiwe wakweli jamani aaah,mnatuharibia CV).
Karibuni .

Tukaribie wapi sasa? kupata kipondo hapana wewe endelea kupambana na hali yako mke wa mtu sumu.
 
Back
Top Bottom