Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

Naamini baadae utaeleza umuhimu wa kutembea na K-y jelly muda wote
 
Duuu....!!! Mshikaji atakuwa anajutia kweli kuanzisha huu Uzi....!!!


Maana sio kwa post hizi jamani loh!
 
Hii ndio ilikuwa ya kutuambia baadae? Pole sana kijana lakini ndio ukubwa huo. Sio peke yako kuliwa kiboga. Mnaita ni ajari kazini na bila shaka you learnt your lesson
daah nimecheka sana,si hivyo tu mkuu ngumi ziliruka kimtindo salama yangu ni kwamba jamaa alikuwa muoga sana na alitegemea mno panga alilokuja nalo so nilipofanikiwa kupiga teke mkono alioshika panga na panga kumdondoka ikabidi apige yowe kuomba msaada,hapo nikapata mwanya wa kukimbia maana sikujua wananchi wenye hasira wangekujaje.Kizuri zaidi yule dem alikuwa akinisaidia kumpiga jamaa kimyakimya
 
Siwezi kusahau japo sitaki kukumbuka.Ilikuwa mwaka 2012 tar 28 february,usiku,dodoma.Nimepata demu tumekubaliana tukaondoka KWAKE.Hii ya kukubali kwenda kwake ilinigharimu,kumbe yule dada alikuwa na mumewe ila walikuwa wamdtofautiana kwa muda tuu.Nikienea nae na nikagegeda kimoja,ghafla mlango wa chumba ukagongwa hodi ghafla,na haikuwa hodi ya kawaida maana mlango ulikuwa unasukumwa kwa nguvu!alikuwa ni huyo mumewe kumbe alikuwa anatuchora toja mapema tulipokuwa maeneo anayofanyia biashara yule demu!!kilichoendelea nitawaambia baadae wakuu,(halafu wanawake,mbona nyie waongo waongo sana?kwanini msiwe wakweli jamani aaah,mnatuharibia CV).
Karibuni.

Unakubali vipi kwenda kwa Mwanamke mjomba?
 
Back
Top Bottom