Kwa Thomas - Kimara bucha

 

Matias? Wewe na alieuliza swali mwenyeji zaidi ninani?
 

mbona ni vituo viwili tofauti?
 

umenikumbusha babu yangu aliyebomoa land rover lake kisa hataki kuendesha wala hataki liendeshwe na Mtu mwingine yeyote.
 
Bango lililoandikwa KWA THOMAS limeng'olewa wameweka jingine limeandikwa BUCHA. nimepita hapo dakika tano zilizopita.
Thomas si tycoon kama mchangiaji mmoja alivyosema ni mjasiriamali wa kawaida hata katika orodha ya matajiri wanaoongoza 100 hapa Tz hayumo.(wrong information is worse than being fool.)
 
Kitua ambacho naposhukiaa....Palikua pana itwa bucha 7bu nyingine palikua panatokea Sana ajari pale na kufarikii,
 
Bulldog wewe wa kimara baruti PS mi wa mavurunza unayoongea kweli jamaa alikuwa anatu-influence tu jog naye then mkifika pale bucha mnakunywa tommy dairy hahaahah "maziwaaaaaa! Halisii .....ya tommy dairy...yana sukariii ..enhee! ....yana vitamin I....enheee!! ....yananenepesha mshirika utakuakua haahha
 
Last edited by a moderator:
Mazigazi; wewe wa kimara baruti PS mi wa mavurunza unayoongea kweli jamaa alikuwa anatu-influence tu jog naye then mkifika pale bucha mnakunywa tommy dairy hahaahah "maziwaaaaaa! Halisii .....ya tommy dairy...yana sukariii ..enhee! ....yana vitamin I....enheee!! ....yananenepesha mshirika utakuakua haahha[/QUOTE said:
Daah umenikumbusha kweli nimepamisi mavurunza kwa juu mtaa wa matairini duuh longtime sijakanyaga pande hizo dar nimeimc sana.
 
Tom ni mjasiriamali wa aina yake, anafanya biashara za 100M pia anafanya biashara za mia tano....mandazi, kwake yeye shio issue kabisaaaa!!!
 
Mwanangu lazima tutakuwa tumesoma wote ule mchaka mchaka ulikuwa si mchezo! Tukimaliza tunaenda kupoza nae koo nyumbani kwake na maziwa safi kabisa.
 
Jamaa atakuwa na story nyingi sana juu ya hili sakata.
 
sio Mathias ni Thomas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…