HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
Nasema hivyo kwa maana kuwa wasomi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kutofikiria na wametanguliza masilahi yao kiasi kwamba hata ndugu/familia zao hawawajali wamekalia uzungu na usasa badala ya kuisaidia jamii inayowazunguka kupitia ujuzi/elimu waliyonayo.
Sasa kama msomi hawezi kuitumia elimu yake kujipatia kipati au kusaidia ndugu zake tu je ataweza kweli kuwasaidia WaTanzania wenzake?
Wasomi ndiyo masikini wa kutupwa nchini na kama elimu ndiyo msingi wa maendeleo kwanini wao wasiwe na maendeleo na wakimbilie siasa??
Wapeni nafasi Watanzania wenye maono ya kuleta maendeleo na hao wasomi ndiyo wakajiajiri kupitia elimu zao.