kwani we cutie baby hupendi kuolewa?
hahaaaa handsome mie hivyohivyo ntampata yule aliyekamilika Probably Miss chaga
hongera sana mkuu,kama umempata aliyetimilifu mtunze sana huyo aiskiponyoke
Khaaa kwani mimi SACCOS?kama umependa hela na bora uende tu.HUko sita kwa sita mbona wewe mwenyewe ukilala umelala kama gogo vile,kwanini utake mimi ndio nipate shida mijasho initoke mie akuuu
Hahahaaa.....thanks for answering....
Kwanini usitafute your own cash ukawa your own boss economically?
Miliki njia za uchumi,kwanini utegemee hisani ya mwanadamu mwingine ikugawie sehem kidogo ya kipato chake ili na wewe uwe mtu?
We care.... hatujazoea kuwona hivyo
Aaaaaaah! Wapi! Nizae kwa uchungu, niende mwezini, bado Nile kwa jasho? Thubutuuuuuu!
m ntaleta proposal aiseee
Endelea kumuomba MUNGU huku ukijitahidi na wewe uwe na hizo tabia unazotaka awe nazo,utampata tu.
Wenye hizo tabia nzuri na wao huwa makini sana na tabia zetu wanaume,wakikuona na wewe una dharau,sio mwaminifu,majivuno mengi na haumchi MUNGU kamwe huwezi wapata.
eeeeh kumbe na wapenda hela?basi na mimi akuuu