Kwa tabia hizi LAZIMA UOLEWE

kubadilikaje? wanaanza kutembelea kichwa au? muwage na mawazo ya kujenga wakati mwingine eboooo!

Binadam yeyote kubadilika ni kawaida kumbuka huyo sio malaika.
 
hizo ndizo sifa unazozitaka kutoka kwa mwanamke utakayeishi naye maisha yako yote yaliyobaki? Kwa kamtazamo kangu mimi, huyo mwanamke ni mbinafsi, hataki kujua hata mambo ya mtu mwingine maana hayamhusu eg. hata asipokuona na gari hahoji...... Hao ndio wanaojijengeaga nyumba zao bila waume zao kujua. Huyo hatakuwa tayari kutoa msaada hata kwa ndugu zako... atataka awe yeye wewe na watoto wenu tu....

Jifunze kuchambua tabia za watu, hebu endelea kumchunguza upande mwingine wa sumuni Amicus Curiae.
 
Last edited by a moderator:

Duh mbona sifa zake zoote ni kama za haka kangu? Isije ikawa figa tatu...
 
Duh mbona sifa zake zoote ni kama za haka kangu? Isije ikawa figa tatu...

Figa 3 ndiyo habari ya town kwa pares! watch out! Wanajua mapenzi, wazuri sanaa, ila wachoyo, wabinafsi na wana kamsemo pichu zao wameacha Same!!! Mpare asipende pesa?? Never!!!
 
Duh nikampata huyo fasta napeleka posa sisubiri aje abadilike maana waliopo sasa hivi kama huna gari usimsemeshe habari za kwenda out daladala hawezi utafikiri kwao kuna gari vile aagghh!!! I hate this
 
jie jitieni ujinga humu.....yaani huyo siku akiijua starehe utaomba Dunia ipasuke....mimi nakomaa na hawa hawa akina Heaven on Earth.....najua IT CAN'T GET ANY WORSE
 
Last edited by a moderator:
wewe ngoja wenzio wamuwahi ndo utajua maharage si mboga bali kitafunio
 
kwahiyo wewe usiochukua wabaya,hako karembo amekutambulisha kwao...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…