Kwa tabia hizi LAZIMA UOLEWE

after all miaka 20 ndo kamezidi miaka 2 tu toka 18 hako hata buku tano kanaona nyingi ngoja kaje kazijue!
 
Tatizo lako hueleweki HEAVEN, umeadimika miezi, hata mawasiliano hutaki tena, sasa ntakuandaaje kuwa mke, napata wasiwasi ujue.

Ila nikikumbuka sura yako ya upole na sauti yako nyororo nachoka kbs.

Ukisema hivo mi huku Hoi.mie mwenyewe nakukumbuka such a charming DUDE.......nitakuona lin tena!!!!!

yule rafiki yetu mwingine yupo!!!!salam zake
 
Mkuu unajua kutokana na maelezo yako naweza kuwa na maoni tofauti kabisa kuhusu uhusiano wako na huyo binti, labda ungesema una umri gani, na aina ya taaluma ulyonayo, unaweza kushangaa nikwanini nimekuulza hivyo ila ukinijibu ndio nta-comment kuhusu uhusiano wako na huyo binti namna ulvyo na namna utakavyokuwa iwapo utaamua kumuoa.
 
Ukisema hivo mi huku Hoi.mie mwenyewe nakukumbuka such a charming DUDE.......nitakuona lin tena!!!!!

yule rafiki yetu mwingine yupo!!!!salam zake

Unaninyong'onyeza Heaven! yule best yetu yupo. Ni-PM no yako, sasa hivi basi...hopefully hutumii tena Sasatel
 

Siwezi kuweka bayana umri wangu hapa jukwaani, ila u can guess, niko in between 22-27.

Kuhusu taaluma, mimi ni Mwanasheria. Haya karibu mkuu...
 

Nishamgegeda mara kadhaa, hilo lisikupe hofu kbs mkuu.
kumbe ''no money no honey'' haiapply kila sehemu...
 
Siwezi kuweka bayana umri wangu hapa jukwaani, ila u can guess, niko in between 22-27.

Kuhusu taaluma, mimi ni Mwanasheria. Haya karibu mkuu...

Ok mkuu! kwa sababu hujakamilisha majibu ya maswali niliyokuulza kwa kutojibu swali la umri wako kwa sababu unazozijua wewe basi jibu maswali haya rahisi harafu niseme nilichotaka kusema kuhusu uhusiano wako na huyo binti
1.Ni mazingira gani yaliyochochea/kupelekea wewe kuanzisha uhusiano na huyo mwanafunzi?
2. Asili ya kabila lako ni lipi?(usishtuke kukuuliza hivi)
3.Je huyo binti hapo alipo anaishi na wazazi wake au anaishi chuoni?.
 

Nimeshindwa mimi mkuu, too many questions. Ila nashukuru kwa utayari wako wa kutaka kunishauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…