Kwa taarifa yako

Kwa taarifa yako

Nakushukuru sana kwa kutoa UKWELI kuhusiana na TAFITI ya kile kinachotokea baada ya MATING FLIGHT ....

Mtoa mada please oanisha maelezo hayo na bandiko lako ...... issue hapa si "korodani" kupasuka bali "reproductive part" (penis) ya nyuki dume (drone) hubaki ndani ya mwili wa malkia ....

Sibishani unachorekebisha ni sawa, ila pia lengo kuu la mtoa mada ambalo ndo nimeliona kuu ni kuwa baada ya nyuki dume kufika orgasm au baada ya mating na queen basi nyuki dume hufa. Kitendo kikuu ni nyuki dume kufa baada ya mating....

Darasa zuri lakini, mie nilikuwa nafahamu hivyo ila sikuwa nafahamu kiundani zaidi kama alivyoelezea Compact
 
Nimewaza tuu.....
Hapo mapenzi yangekuwa ya ukweli na ya dhati na si mapenzi ya kubanjuana. Ukikuta mtu anaamua kufa kwa ajili ya orgasm basi huyo ana mapenzi ya kweli kwa mpenziwe.

Kwa utafiti huu jinsia ya ke hapo haina shida maana wao wataendelea ku survive baada ya me kufika kileleni na kuzima.
Ukweli ni kuwa "penis" ya drone hubakia ndani ya "uke" wa queen .... wadhani ingekuwa hivyo kwa wanadamu na jinsia ya "ke" ingesalimika? ..... Si K ingeziba
 
Haaaha dunia ingekuwa mahala tulivu sana na wala pasingehitajika mabavu ili kutawala dunia. Mie mtazamo wangu tusingekuwa na maisha kama ya nyuki, kwa kuwa binadamu ameumbwa na akili kuliko vumbi wote, ingekuwa hivi.....

Mtu mke na mme wakitamaniana basi wataanza kubanjuana huku wakiwa makini wasifike orgasm ili me asije akazima. Laa mwanaume akijisahau akaendekeza utamu basi ndo mwisho wa maisha yake. Kwa hofu ya kufa iliyoko kwa binadamu tendo la ngono au tendo la ndoa lingekuwa la kuogopwa kama ukoma. Na mwanaume ambaye anakuwa amempenda mwanamke kikwelikweli basi huyo ndo angejitoa achubwike wote wafike orgasm na yeye kufa kisha ke kubaki.

Laah kama kufika orgasm kwa njia nyingine haufi basi watu wangekuwa wanapapasana na kutomasana hadi wafike kileleni. Lakini kama hata kwa kuchezeana miili bila tendo la ngono mwanaume akifika orgasm pia anakufa basi binadamu tungekuwa wote kama kaka na dada.

Nawaza zaidi....

Na jinsi wadada wanavyojua kuwatega wanaume hehehehe ungekuta suruali ikituna mtu anakimbia kufikiria uhai wake hehehhe
wanawake wangeringaje ? hata kama ana hasira au kisasi na mwanaume ahitaji kuumiza kichwa ni kiasi cha kumfunulia paja tu na kulegeza macho, duuu.....!!
 
Nyuki dume akifika kileleni, korodani zake hupasuka na kisha hufariki dunia.

14641994_10154612944649339_2854456393210875426_n.jpg
Sijakuelewa hapo uliposema ANAFARIKI DUNNIA siyo kwamba anafariki maana hiyo hatari yake fikiria akifariki dunia.
 
Nimewaza tuu.....
Hapo mapenzi yangekuwa ya ukweli na ya dhati na si mapenzi ya kubanjuana. Ukikuta mtu anaamua kufa kwa ajili ya orgasm basi huyo ana mapenzi ya kweli kwa mpenziwe.

Kwa utafiti huu jinsia ya ke hapo haina shida maana wao wataendelea ku survive baada ya me kufika kileleni na kuzima.
Siku hizi unachukia kuliwa nini??
 
Duuh...

Nimewaza tuu ingekuwa hivyo kwa binadamu..... matatizo mengi sana yangepungua na kutoweka. ...

Pia tendo la ngono lingeheshimika sana na siajabu kusingekuwa na kubakwa, mimba zisizotarajiwa n.k. n.k.

Mimba ingekua ni project inayopangwa na kupewa umakini wa hali ya huu.
 
Sibishani unachorekebisha ni sawa, ila pia lengo kuu la mtoa mada ambalo kumi ndo nimeliona kuu ni kuwa baada ya nyuki dume kufika orgasm au baada ya mating na queen basi nyuki dume hufa. Kitanda kikuu ni nyuki dume kufa baada ya mating....

Darasa zuri lakini, mie nilikuwa nafahamu hivyo ila sikuwa nafahamu kiundani zaidi kama alivyoelezea Compact
It's true nyuki dume (drone) lazima afe baada ya "mating" na malkia ...... KISABABISHI cha kifo chake ndo hasa yalikuwa marekebisho yangu
 
Ukweli ni kuwa "penis" ya drone hubakia ndani ya "uke" wa queen .... wadhani ingekuwa hivyo kwa wanadamu na jinsia ya "ke" ingesalimika? ..... Si K ingeziba

Hahahahaaa hiyo peniz ingekuwa inayeyuka kama vile glucose inavoyeyuka pindi unapoilamba hivyo key haitajaa wala kuziba heheh na usalama ungekuwepo kwa peniz nyingine kuja kukatikia hapo hahahahahah raha sana looh
 
wanawake wangeringaje ? hata kama ana hasira au kisasi na mwanaume ahitaji kuumiza kichwa ni kiasi cha kumfunulia paja tu na kulegeza macho, duuu.....!!

Hehehehee maringo ni asili ya mwanamke, hapo kwenye kisasi ingekuwa balaa ila pia heshima ingekuwepo sana na maisha yangekuwa na amani mnoo.
 
Mimba ingekua ni project inayopangwa na kupewa umakini wa hali ya huu.

Umeona eeh mchezo mchezo wa kujaribu jaribu kina cha kishimo hiki na kile ili kujua ladha tofauti tofauyi usingekuwepo
 
Back
Top Bottom