Stevenbee
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 365
- 449
Jamani hizi nyuzi za mikopo tuachieni first year na wenye mapenzi ya Dhati kutupigania juu ya haya ila kuna baadhi ya watu badala ya kutoa solution mnaanza mambo ya vyama na siasa Tatizo ni ku-solve the current situation na huwezi kurewind the past matters thuswhy u wont even determine your death kila kitu uwa kinatokea pasipo kujua Ila dont judge why my i didnt do a poll ; why i selected smbdy
The issue is HIGHER EDUCATION LOAN
Kwa msiejua waliokosa mikopo ni robotatu ya waombaji wote
can You imagine maisha yetu haya ya kawaida sana bila mkopo ni kama ndoto
Mtushauri ...pengine kutupa solutions kivipi Tunaweza survive maisha ya chuo hivohivo kiugumu
Asanteni
Steven