Naweza kusema hivi:
Umalaya, uasherati, uzinzi, uhuni, ushoga, usenge, na dhambi zoote zinazofanana au kuhusiana na ngono, si dhambi mpya leo, zilikuwepo na ndio maana Mungu akaziwekea makatazo na Amri, katika Bibilia agano la kale na jipya! Lakini haimaanishi kuwa kwa sababu ni dhambi imekuwako tokea zamani, na inatendwa na watu wengi basi si dhambi tena. Tofauti ya leo na enzi hizo za miaka/karne za nyuma ni kwamba ueneaji wa habari kwamba jambo fulani limefanyika/limetokea mara kadhaa kuliko lingine ( incidents and frequency of occurrence) haukuwa kama hivi leo zama hizi za TEHAMA.
Pia idadi ya watu (population) ya wakati huo na ya sasa ni tofauti. Kadiri pool/number of people inavyokuwa kubwa ndivyo random probability ya case (common/natural phenomenon) fulani kutokea inakuwa kubwa. And the vice versa. By this, I am not justifying the immoral relationships in our today's society but the stereotyping and whistles blown about this scandals should remember these facts!