Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA CHADEMA shakani

Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA CHADEMA shakani

the poor doctor against master student i dont get it
 
Tathimin yako haina mashiko kabisa. Huwezi kama kiongozi mkuu wa chama kukimbilia kutoa tamko kwa story za kwenye mitandao ya kijamii. Humu nani ya JF kuna upuuzi mwingi tu unawekwa humu sasa kama Katibu Mkuu wa chama atakuwa antolea tamko itakuwa ni ajabu ya mwaka. Kuna mambo mengine ambayo ni ya kibinfsi sana kwa kiongozi kuingilia. Pili kuna mitego ya CCM inayowekwa tu ili kuvuruga CDM sasa matamko ya haraka haraka yatawapa watu faida tu.

Zito anafahamu ukweli kuwa ule waraka wa siri ni watu tu wasio na akili ambao wameamua kutunga mambo, yeye hali akilijua hilo anaandika barua kwa Katibu Mkuu, so suprising. Haya JJ Mnyika amjibu huo upuuzi wao sasa Dr Slaa mnataka ajibu nini?

Wito kwa Dr Slaa; wewe ni mtu mkubwa sana katika jamii na kamwe usije ukachukua ushauri wa kutoa matamko kwa mambo binafsi na ya kipuuzi. Maswali pekee ambayo unatakiwa kuyasemea kama ulivyokuwa unafanya huko nyuma ni masuala yanayogusa maslahi mapana ya nchi na si vinginevyo.

DR SLAA TUNAKUPENDA NA TUNAKUAMINI ACHANA NA HAWA WAPUUZI
hivi issue ya lwakatare si ilivuja hapa mtandaoni
hivi issue ya mwigamba si ilitoka mtandaoni
sasa tatizo lako nini kama suala la ugomvi limetoka mtandaoni usiwe mnafiki kwa kufumbia ukweli kama dk
 
haya mambo yapo jf lakini yashafika kwenye chama refer press release yas mnyika, refer official leta ya andrea corde,refer barua ya zito na kitila mkumbo then unasema ya nje how is ur iq number

Tunafahamu mnataka Dr. Slaa ajibu upuuzi wa baadhi ya watu waliokubali kukisaliti chama na ndipo mtashangilia. Kikao cha kamati kuu Chadema hakikai kwenye mtandao wa JF. Zitto kwa kukosa maadili ya uongozi amejitoa mhanga kuwasaliti Watanzania kwa kujifanya yeye siyo sehemu ya uongozi kwa sababu anazojua yeye na waliomtuma. Kwa IQ yako kubwa ulitaka suala hilo lijadiliwe jamii forum? Katika wanaopiga vita mabadiliko Tz. wewe ni miongoni, ok ila unastahili kuhurumiwa kwa kupofushwa na buku 7.
 
sikulaumu namlaumu jk kwa kuanzisha shule za kata
 
Back
Top Bottom