Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA CHADEMA shakani

Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA CHADEMA shakani

Unajua nyie watu wa CCM wa ajabu sana;inakuwaje mnamsapotu sana Zitto? Ndoa hii haiwahusu lakn nashangaa mnavyokomalia swala hili sasa kama vp si mchukueni huyu bwana Zitto? CDM ina vijana wengi wasomi na wenye fikra mbalimbali isiwe tabu
acha ujinga wako zito ni NAIBU KATIBU MKUU CHADEMA CCM INAINGIAJE
 
udhaifu wa kila mtu kuwa msemaji wa chama au kuwa msemaji wa serekali uko kwenye serekali ya ccm ambako kuna viongozi wengi ambao hawana nidham ya kutoa matamko.leo huyu anasema hivi mwingine anasema vile.serekali ina kuwa kama vile makufuli vs pinda,mulugo vs mchome sasa sijui wanashindania tuzo gani.chadema ni chama makini ni chenye utaratibu jj amesha toa tamko na ndilo tamko la slaa na chama kwa ujumla.
umesema kweli dogo dk yuko selective je angekua ni mkaskazini aametuhumiwa asingenyamaza that is double face
 
TUACHE UNAFIKI SEMA UKWELI dk anaasili ya KIDIKTETA
 
Mkuu, nasikia bajeti ya viroba pale Kinondoni imepanda na ndo maana wameanza tena kujaa mitandaoni

Endeleeni kupoteza muda wenu kuhangaika na Chama dume Chadema......Mtaisoma number mwaka huu.....Vipi tunasubiri utabiri mwingine wa Nabii Feki Wassira....Maana huu utabiri wasasa umegoma...
 
mkuu hata kama wewe mwanachama mtiifu chadema ukimkosoa babu shida inaanza sijui ni mungu mtu hakosei

Kwi kwi kwi kwi.... .Nabadoo!!!! Leo inekuwa Slaa sio Mbowe tena....Kunywa tuu sumu ufilie mbali...Slaa ni level ingine dada..
 
pole sana dogo wewe...!!

Ila sio mbaya kuendelea kutekeleza maagizo kama ulivyopewa na w.j. Malecela.

Kwa wengine waote wasiojua maagizo hayo, basi someni hapa chini...

@ le mutuz straight talk!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu ccm, kwamba mwenyekiti wa chadema ameamua kujitoa kugombea urais 2015, so i told you our operation chaos is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- niliwaambieni hawa hawana mgombea urais 2015, so sasa wale wote tunaoshirikiana kuwadhoofisha kwa kutumia mitandao tuzidishe mashambulizi kama ilivyo sasa, ninalo bomu moja la kiongozi wao mmoja maarufu kutaka kumbaka demu mmoja majuu na kesi ipo mahakamani na documents zipo, ina maana huyu akipewa kugombea chadema akapata urais hataruhusiwa kwenda hiyo nchi, sasa tutakuwaje na rais ambaye ni limited kwenye internatinional community? Saafi sana mheshimiwa mbowe kwa kujipima na kuachia ngazi sasa mshauri na mwenzako slaa ajipime!!

Kidumu ccm!

Kidumu chama tawala!!

Ha! Ha! Ha! Ha!

- le mutuz!!

akili ndogo dhidi ya akili kubwa
 
Watu wengine mnaharibu siasa za Tanzania.. kwani hamna cha kujadili mpaka mnafikiria vitu virahisirahisi kama hivi.. Lets change jamani..
 
Naunga mkono hoja,slaa katika hilo kapotoka na kakosa weledi wa uongoz
 
Slaa hawezi kutoa tamko wala kukemea kwa sababu yeye ndiye kamtuma lema kumchokoza zito kaa ukijua hivyo ukina kifaranga juu ya chungu chini mama yake yupo.
 
Back
Top Bottom