assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #61
kama lilivyo kundi lenu hapo lumumba .................walaghai wote kwa ajili ya buku 7
jib hoja

Wewe hata waliokuzaa wako na hasala unatetea ujinga tu siku zote .
Slaa hawezi kutoa tamko wala kukemea kwa sababu yeye ndiye kamtuma lema kumchokoza zito kaa ukijua hivyo ukina kifaranga juu ya chungu chini mama yake yupo.
jib hoja
M4c vs scramble4 leadership = 0
Naunga mkono hoja,slaa katika hilo kapotoka na kakosa weledi wa uongoz
Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA ndani ya CHADEMA inatia shaka hembu fatilia haya,
1.baada ya kutuhumiwa Lwakatare kama amerekodiwa akisema anaweza kumdhuru mhariri wa mwananchi DK SLAA kwa haraka alilitolea maelezo kama kiongozi mtendaji.
2. Suala la marekebisho ya katiba pale panapokuwa na mapungufu amekua akitolea ufafanuzi kwa haraka kama kiongozi mtendaji.
3. Kujitokeza kwa haraka kuikosoa CCM pale inapobidi kwa staili hii DK SLAA NILIMUONA NI MTENDAJI HODARI.
MY TAKE;
KWA nn suala la viongozi wakubwa wa chama yani mjumbe wa halmashauri kuu yani mh LEMA Na NAIBU KATIBU MKUU MH ZITO KABWE KUKAA KIMYA BILA KUTOA MAELEZO.
1. NI KWANN DK SLAA KAMA HANA MASLAHI NA HUU MGOGORO ameamua kukaa kimya.
2. taarifa ya siri iliokuwa inasema imetoka chadema kwann DK SLAA KAMA MTENDAJI MKUU hakukanusha mapema mpka NAIBU KATIBU MKUU aandike barua kwake kwani ukimya wake ulileta hisia kama hayo madai ni kweli, kwann isitutie mashaka sisi wanachama kama kuna baadhi ya makosa na tuhuma hushughulikwa upesi ila mengine DK ANAAYAANGALIA TU kama hahusiki vile
3 hii inaleta picha mbaya ya kiutendaji kwamba tuhuma kwa baadhi ya viongozi anazishughulikia zingine anaziangalia tu je hii sio DOUBLE STANDARD?
nahisi ni plan za kummaliza mh zito lakini mungu ni mwemakimya kingi mdau huenda kikawa na mshindo
Bei ya viroba imeshuka nategemea volume nayo itapanda,vipi umeshatoa lock?
Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA ndani ya CHADEMA inatia shaka hembu fatilia haya,
1.baada ya kutuhumiwa Lwakatare kama amerekodiwa akisema anaweza kumdhuru mhariri wa mwananchi DK SLAA kwa haraka alilitolea maelezo kama kiongozi mtendaji.
2. Suala la marekebisho ya katiba pale panapokuwa na mapungufu amekua akitolea ufafanuzi kwa haraka kama kiongozi mtendaji.
3. Kujitokeza kwa haraka kuikosoa CCM pale inapobidi kwa staili hii DK SLAA NILIMUONA NI MTENDAJI HODARI.
MY TAKE;
KWA nn suala la viongozi wakubwa wa chama yani mjumbe wa halmashauri kuu yani mh LEMA Na NAIBU KATIBU MKUU MH ZITO KABWE KUKAA KIMYA BILA KUTOA MAELEZO.
1. NI KWANN DK SLAA KAMA HANA MASLAHI NA HUU MGOGORO ameamua kukaa kimya.
2. taarifa ya siri iliokuwa inasema imetoka chadema kwann DK SLAA KAMA MTENDAJI MKUU hakukanusha mapema mpka NAIBU KATIBU MKUU aandike barua kwake kwani ukimya wake ulileta hisia kama hayo madai ni kweli, kwann isitutie mashaka sisi wanachama kama kuna baadhi ya makosa na tuhuma hushughulikwa upesi ila mengine DK ANAAYAANGALIA TU kama hahusiki vile
3 hii inaleta picha mbaya ya kiutendaji kwamba tuhuma kwa baadhi ya viongozi anazishughulikia zingine anaziangalia tu je hii sio DOUBLE STANDARD?
nahisi ni plan za kummaliza mh zito lakini mungu ni mwema

akili ndogo vs akili kubwaTunaposema vijana wanamihemuko ndo kama hivi Lema ni kiongozi Zitto nikiongozi wote hawana busara kabisa na kimsingi wanakosa wajibu wa kuwa viongozi maana wanaongozwa na mihemuko ya kitoto ya kutaka sifa hasa ktk mambo ya kijinga sana. walikuwa na nafasi ya kuambizana upuuzi wao lkn kwakuwa wanapenda sifa za kijinga wakakimbilia kwenye mitandao kutolea ujinga wao. haya nimambo ya aibu sana. lkn pia tizama wanatolea matamko kwenye mitandao badala ya maeneo husika, mwangalie Zitto nae anaagiza katibu mkuu ambae ni bosi wake atolee kauli ujinga wake as if yeye si kiongozi wa juu wa CDM na kama yeye hajui kinachofanyika ofisini kwake huu ni unafiki uliopitiliza. Wanataka tuamini kama ofisi za CDM ziko kwenye mitandao huu ni ujinga mkubwa zaidi. Anyway mkikua mtaacha ujinga huu.
Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA ndani ya CHADEMA inatia shaka hembu fatilia haya,
Utendaji wa dr ukiwa mzuri utakusaidia nini wd ccm mmepanda mnasubiri kuvuma hampati kitu makanamda tuko imara.
Mambo ya Lema na Zitto hiyo ni mipasho yao ya mitandaoni.....Unataka atoe tamko mitandanaoni...? That's too low for Dr. Slaa..