Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA CHADEMA shakani

Dr Slaa yuko busy kurekebisha hesabu za ruzuku
 
Unajua nyie watu wa CCM wa ajabu sana;inakuwaje mnamsapotu sana Zitto? Ndoa hii haiwahusu lakn nashangaa mnavyokomalia swala hili sasa kama vp si mchukueni huyu bwana Zitto? CDM ina vijana wengi wasomi na wenye fikra mbalimbali isiwe tabu
 
Bei ya viroba imeshuka nategemea volume nayo itapanda,vipi umeshatoa lock?

Mkuu, nasikia bajeti ya viroba pale Kinondoni imepanda na ndo maana wameanza tena kujaa mitandaoni
 
Unajua nyie watu wa CCM wa
ajabu sana;inakuwaje mnamsapotu sana Zitto? Ndoa hii haiwahusu lakn
nashangaa mnavyokomalia swala hili sasa kama vp si mchukueni huyu bwana
Zitto? CDM ina vijana wengi wasomi na wenye fikra mbalimbali isiwe
tabu

ni ujinga na upunguani wa hali ya juu kudhani kuwa kila anayepinga CHADEMA ni mwana CCM. Kwani Maskini Mkulima alikuwa CCM?
 
mkuu hata kama wewe mwanachama mtiifu chadema ukimkosoa babu shida inaanza sijui ni mungu mtu hakosei
 
Kwahili mtoa thread Mimi ni mwanachama wa CDM nakuunga mkono
 
ni ujinga na upunguani wa hali ya juu kudhani kuwa kila anayepinga CHADEMA ni mwana CCM. Kwani Maskini Mkulima alikuwa CCM?

Masikini Mkulima hakuipinga wala kuikashifu Chadema yeye alitoa ushauri tuu,ila kama kiongozi njia aliyotumia haikuwa sahihi.
 
Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA ndani ya CHADEMA inatia shaka hembu fatilia haya,
1.baada ya kutuhumiwa Lwakatare kama amerekodiwa akisema anaweza kumdhuru mhariri wa mwananchi DK SLAA kwa haraka alilitolea maelezo kama kiongozi mtendaji.

2. Suala la marekebisho ya katiba pale panapokuwa na mapungufu amekua akitolea ufafanuzi kwa haraka kama kiongozi mtendaji.

3. Kujitokeza kwa haraka kuikosoa CCM pale inapobidi kwa staili hii DK SLAA NILIMUONA NI MTENDAJI HODARI.

MY TAKE;
KWA nn suala la viongozi wakubwa wa chama yani mjumbe wa halmashauri kuu yani mh LEMA Na NAIBU KATIBU MKUU MH ZITO KABWE KUKAA KIMYA BILA KUTOA MAELEZO.

1. NI KWANN DK SLAA KAMA HANA MASLAHI NA HUU MGOGORO ameamua kukaa kimya.

2. taarifa ya siri iliokuwa inasema imetoka chadema kwann DK SLAA KAMA MTENDAJI MKUU hakukanusha mapema mpka NAIBU KATIBU MKUU aandike barua kwake kwani ukimya wake ulileta hisia kama hayo madai ni kweli, kwann isitutie mashaka sisi wanachama kama kuna baadhi ya makosa na tuhuma hushughulikwa upesi ila mengine DK ANAAYAANGALIA TU kama hahusiki vile
3 hii inaleta picha mbaya ya kiutendaji kwamba tuhuma kwa baadhi ya viongozi anazishughulikia zingine anaziangalia tu je hii sio DOUBLE STANDARD?

mbona hajakaa kimya kaka_huoni anakesha na MSHUMBUSI humu wakigonga LIKES kwa wanaomtukana ZZK? hawataki kujipambanua kuwa wanatamani kuwa viongozi wa milele sasa wanajenga chuki dhidi ya wanaofaa ili kuwahalalishia uwepo wao
 
Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA ndani ya CHADEMA inatia shaka hembu fatilia haya,
1.baada ya kutuhumiwa Lwakatare kama amerekodiwa akisema anaweza kumdhuru mhariri wa mwananchi DK SLAA kwa haraka alilitolea maelezo kama kiongozi mtendaji.

2. Suala la marekebisho ya katiba pale panapokuwa na mapungufu amekua akitolea ufafanuzi kwa haraka kama kiongozi mtendaji.

3. Kujitokeza kwa haraka kuikosoa CCM pale inapobidi kwa staili hii DK SLAA NILIMUONA NI MTENDAJI HODARI.

MY TAKE;
KWA nn suala la viongozi wakubwa wa chama yani mjumbe wa halmashauri kuu yani mh LEMA Na NAIBU KATIBU MKUU MH ZITO KABWE KUKAA KIMYA BILA KUTOA MAELEZO.

1. NI KWANN DK SLAA KAMA HANA MASLAHI NA HUU MGOGORO ameamua kukaa kimya.

2. taarifa ya siri iliokuwa inasema imetoka chadema kwann DK SLAA KAMA MTENDAJI MKUU hakukanusha mapema mpka NAIBU KATIBU MKUU aandike barua kwake kwani ukimya wake ulileta hisia kama hayo madai ni kweli, kwann isitutie mashaka sisi wanachama kama kuna baadhi ya makosa na tuhuma hushughulikwa upesi ila mengine DK ANAAYAANGALIA TU kama hahusiki vile
3 hii inaleta picha mbaya ya kiutendaji kwamba tuhuma kwa baadhi ya viongozi anazishughulikia zingine anaziangalia tu je hii sio DOUBLE STANDARD?

Tofautisha mambo ya ndani na nje ya chama lakini pia nani anatuhumiwa? Au ndiyo mahali bomu limetegeshwa nini, hilo limeshateguliwa.
 
haya mambo yapo jf lakini yashafika kwenye chama refer press release yas mnyika, refer official leta ya andrea corde,refer barua ya zito na kitila mkumbo then unasema ya nje how is ur iq number
 
Slaa ni mwanasiasa mlaghai...

Pole sana dogo wewe...!!

Ila sio mbaya kuendelea kutekeleza maagizo kama ulivyopewa na W.J. Malecela.

Kwa wengine waote wasiojua maagizo hayo, basi someni hapa chini...

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA ndani ya CHADEMA inatia shaka hembu fatilia haya,
1.baada ya kutuhumiwa Lwakatare kama amerekodiwa akisema anaweza kumdhuru mhariri wa mwananchi DK SLAA kwa haraka alilitolea maelezo kama kiongozi mtendaji.

2. Suala la marekebisho ya katiba pale panapokuwa na mapungufu amekua akitolea ufafanuzi kwa haraka kama kiongozi mtendaji.

3. Kujitokeza kwa haraka kuikosoa CCM pale inapobidi kwa staili hii DK SLAA NILIMUONA NI MTENDAJI HODARI.

MY TAKE;
KWA nn suala la viongozi wakubwa wa chama yani mjumbe wa halmashauri kuu yani mh LEMA Na NAIBU KATIBU MKUU MH ZITO KABWE KUKAA KIMYA BILA KUTOA MAELEZO.

1. NI KWANN DK SLAA KAMA HANA MASLAHI NA HUU MGOGORO ameamua kukaa kimya.

2. taarifa ya siri iliokuwa inasema imetoka chadema kwann DK SLAA KAMA MTENDAJI MKUU hakukanusha mapema mpka NAIBU KATIBU MKUU aandike barua kwake kwani ukimya wake ulileta hisia kama hayo madai ni kweli, kwann isitutie mashaka sisi wanachama kama kuna baadhi ya makosa na tuhuma hushughulikwa upesi ila mengine DK ANAAYAANGALIA TU kama hahusiki vile
3 hii inaleta picha mbaya ya kiutendaji kwamba tuhuma kwa baadhi ya viongozi anazishughulikia zingine anaziangalia tu je hii sio DOUBLE STANDARD?

Mtoa mada unajaribu sana kuonekana neutral, lakini kama kawaida, huwezi kuficha jinsi ulivyo..

Hebu soma tena maelekezo uliyopewa, na uyatekeleze vizuri tu, na wala usijifanye kama vile unataka 'kuisaidia' Chadema.
Wewe fanya 'kazi' yako jinsi ulivyoelekezwa hapo chini....

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
Hii nayo ni News?

Usishangae sana,

Yote haya ni katika 'Operation Chaos'....

Maagizo ya 'Operation Chaos' ni kama yanavyoonekana hapa chini......

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
chadema kinaongozwa kisanii sana. na dr slaa hakurupuki kutoa tamko kwa kitu chenye maslahi naye

Kila post ya mwana-CCM lazima imtaje vibaya Dr. Slaa na Mbowe....

Muendelezo wa Operation Chaos ya CCM....

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
Udhaifu wa kila mtu kuwa msemaji wa chama au kuwa msemaji wa serekali uko kwenye serekali ya CCM ambako kuna viongozi wengi ambao hawana nidham ya kutoa matamko.leo huyu anasema hivi mwingine anasema vile.serekali ina kuwa kama vile MAKUFULI vs PINDA,MUlUGO vs MCHOME sasa sijui wanashindania tuzo gani.CHADEMA ni chama makini ni chenye utaratibu JJ amesha toa tamko na ndilo tamko la Slaa na chama kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom