assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Kwa staili ya utendaji wa DK SLAA ndani ya CHADEMA inatia shaka hembu fatilia haya,
1.baada ya kutuhumiwa Lwakatare kama amerekodiwa akisema anaweza kumdhuru mhariri wa mwananchi DK SLAA kwa haraka alilitolea maelezo kama kiongozi mtendaji.
2. Suala la marekebisho ya katiba pale panapokuwa na mapungufu amekua akitolea ufafanuzi kwa haraka kama kiongozi mtendaji.
3. Kujitokeza kwa haraka kuikosoa CCM pale inapobidi kwa staili hii DK SLAA NILIMUONA NI MTENDAJI HODARI.
MY TAKE;
KWA nn suala la viongozi wakubwa wa chama yani mjumbe wa halmashauri kuu yani mh LEMA Na NAIBU KATIBU MKUU MH ZITO KABWE KUKAA KIMYA BILA KUTOA MAELEZO.
1. NI KWANN DK SLAA KAMA HANA MASLAHI NA HUU MGOGORO ameamua kukaa kimya.
2. taarifa ya siri iliokuwa inasema imetoka chadema kwann DK SLAA KAMA MTENDAJI MKUU hakukanusha mapema mpka NAIBU KATIBU MKUU aandike barua kwake kwani ukimya wake ulileta hisia kama hayo madai ni kweli, kwann isitutie mashaka sisi wanachama kama kuna baadhi ya makosa na tuhuma hushughulikwa upesi ila mengine DK ANAAYAANGALIA TU kama hahusiki vile
3 hii inaleta picha mbaya ya kiutendaji kwamba tuhuma kwa baadhi ya viongozi anazishughulikia zingine anaziangalia tu je hii sio DOUBLE STANDARD?