Kwa staili hii ntapofuka

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
446
Reaction score
232
Bandugu pc yangu inatoa mwanga mkali sana na cjui jinsi ya kuupunguza huku natumia kusomea msaada plz!
 
Mimi natumia win 7 toshiba nataka nipunguze mwanga
 
Mimi natumia win 7 toshiba nataka nipunguze mwanga

Toshiba ipi?



Umeona hapo juu unabonyeza fn na button zilizochorwa mwanga.

Computer zinazotofautiana cha muhimu angalia button ilochorwa mwanga na huo mchoro wa rangi gani.

Picha yetu inaonyesha rangi ya cyan basi bonyeza fn ya cyan na button za mwanga, laptop nyengine kama lenovo inakua magenta au red
 
Mkuu nikiwa karibu na pc nitakujibu
 
Sio utumwa kaka ndo teknolojia ilipofikia sasa bila pc utasomaje akati mambo yenyewe yapo online
 
ndugu natumia lenovo G450 nimejaribu hiyo formula ila imegoma vipi hakuna njia nyingine?
 
sorry nlikua pindi natumia LENOVO G450 msaada plz!
 
sasa utasaidiwaje upo mbali na pc yako maana kumbe hujui hebu jalibu kuwa karibu na pc ndio uombe msaada sawa
 
sasa utasaidiwaje upo mbali na pc yako maana kumbe hujui hebu jalibu kuwa karibu na pc ndio uombe msaada sawa

nilikua class ndo maana ila kikubwa msaada natumia lenovo g450.
 
kama unatumia lenovo kumbuka computer zote zinazotumia W 7 ukitaka kuunguza mwanga au kuongeza nenda kwenye start opande wako we kulia kwenye sehemu inayoonyesha batter click na chagua adjast brightness unapabunguza unachokitaka basi au angalia kwenye keyboard shutcut yake alafu kunapunguza ni hivyo tuu wala haiitaji darasa sana
 
sorry nlikua pindi natumia LENOVO G450 msaada plz!



upande wa kushoto chini kabisa kuna button imeandikwa fn bonyeza hio na button za mshale juu au mshale chini

na picha nloeka juu ilipaswa ifanye kazi pia
 



upande wa kushoto chini kabisa kuna button imeandikwa fn bonyeza hio na button za mshale juu au mshale chini

na picha nloeka juu ilipaswa ifanye kazi pia
najaribu kukudaka ndugu ila nimeejatibu kuhold hyo fn na nikabonyeza hizo arrows ila cjaona effect sa cjui kabla ya kufanya hivyo pc inatakiwa iwe kwenye cntn gani. samahani lakini
 
ngoja ntest ndudu
 

Waziri Mulugo Style.... Wala Hawahitaji Darasa......Anasema....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…