Kuoa ndio njia rahisi ya kupata penzi?

USSR123

Member
Feb 18, 2017
76
102
Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata NGONO tena kwa bei nafuu.
Unaoa unalipa mahari milion 1.5, afu unakaa nae zaidi ya miaka 20. Sawa na zaidi ya miez 250.
Ina maana kwa mwezi mmoja unalipa Tshs. 6000/=
Kwa wiki moja unalipa Tshs.1500/=
Na kwa siku Tshs 215/=
Kwann ukanunue mwanamke kwa zaidi ya Tshs 30,000/= na gharama ya chipsi kuku na Pepsi afu akupe mapenzi kwa raundi mbili tu, wakati ungekua umeoa ungekuwa unalipa TSHS 215/= na unapiga mzigo raundi kibao mpk utosheke mwenyewe.
Nenda kaoe wewe upige mzigo kwa bei nafuu acha uboya wa kulipa pesa nyingi kwa penz la siku moja.
 
Hiyo ngono ya 215 kwa siku imekaa kibashite bashite.umefikiria kuipata kwa mkupuo hyo 1.5 mil?umeyatafakari kwa kina maisha ya leo na changamoto zake?au ni bashite kaandika?
 
Dah kwa mwaka huu tangu uanze maneno yaliyotajwa sana ni mubashara na bashite
 
Back
Top Bottom