assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
-
- #41
Mbona hamleti mambo mapya, kila kukicha nyimbo ni hizohizo tu... CHADEMA imekufa, imefufuka, imetawanyika, imezimia, haihemi, haipumui, taarifa za ndani, taarifa za chooni, taarifa za sebuleni, taarifa za jikoni... Lini mtaleta kipya?
Mbona hamleti mambo mapya, kila kukicha nyimbo ni hizohizo tu... CHADEMA imekufa, imefufuka, imetawanyika, imezimia, haihemi, haipumui, taarifa za ndani, taarifa za chooni, taarifa za sebuleni, taarifa za jikoni... Lini mtaleta kipya?
1.Ukabila.
2.Udini.
3.Ukanda.
Na ubaguz wa waz waz ndan ya chama hiko umekiua moja kwa moja.
Pamoja na kwamba ccm imeshindwa moja kwa moja lakin chadema kimekosa qualifications za kuwa mbadala wake.
Kama Mnabisha tuombe uhai 2015.
ukimkimbiZA KICHAA NA WEWE NI CHIZI
Shangaa na toho yako, katika hao wanaoitwa "wasaliti" hakuna wa kaskazini hata mmojaKama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.
Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.
Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.
Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.
Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.
Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.
Dua la Kuku....Keep on dreaming, CHADEMA is here to stay!!!
Shangaa na toho yako, katika hao wanaoitwa "wasaliti" hakuna wa kaskazini hata mmoja
KWI! KWI! KWIIII!!! NILIJUA NIKIKUUMBUA NI LAZIMA MIPOVU YA KIFAFA IKUFUmuke , safari hii hatutakuachia upenyo , shame on you !
Wenye roho ngumu Kama paka ndio kama Huyu. Kusoma hawajui na hata picha hawaoni.
ur iq levek is proved by this comment. better stay mouth shut
unajua unatia aib. njo kwenye blog yang nikuongezee ufaham nazan uko kale group ka AKILI NDOGO