Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,364
- 1,315
kama haya ndio ya Airtel bora nibaki halotel hapa nipo Moshi Mjini
Hapa mkombozi ni mpaka wamtukane gwajimaHata huko halotel utapakimbia tu
Yaani siku hizi mitandao nayo haielewekiHapa mkombozi ni mpaka wamtukane gwajima
Umecheki apps zinazorun hata kama uzitumii(background apps) mf; FB,whatsapp,email na zozote zile zinazoleta notification? Koz hapa bundle linaweza likaenda hata kama ulitumii au simu yako imeshambuliwa na malware yani unakuta inadownload vitu bila ridhaa yako au adds zinapop up ovyoovyo. Cheki hayo mkuu coz sio kwel bundle hua linaliwa kihasi hicho.Ulaji wake wa bando halotel ni kama maji ya kunywa nimeweka 120mb asbh saa6 mchana kwishaaa
Na hakuna downloads wala browsing yoyote niliyofanya
Nimerestrict background data halotel ni wezi tu sitawasamehe kwa wizi huoUmecheki apps zinazorun hata kama uzitumii(background apps) mf; FB,whatsapp,email na zozote zile zinazoleta notification? Koz hapa bundle linaweza likaenda hata kama ulitumii au simu yako imeshambuliwa na malware yani unakuta inadownload vitu bila ridhaa yako au adds zinapop up ovyoovyo. Cheki hayo mkuu coz sio kwel bundle hua linaliwa kihasi hicho.
Kwa kuzuia apps kutumika in background download app ya greenify itasaidia au Shutapp hii ya kuzifunga apps.
Half hii kitu inakera sana yani Halotel unaweza jikuta kwa siku unatumia hata 5000 kama ni mtu wa YouTube na Insta. Mb hazikai hlf speed siku hz imekua mbovu.Mkuu Pamoja Na wizi wao, Nenda tu Vodacom..
Halotel ukiweka gb1 haimalizi siku kwamatumizi ya browsing na jf app tu..