Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Dah afadhali, maana nilikua natafuta software ya kuinhibit underground updates za w10..
Zinakula sana mb
Sent by anonymous user
Zinakula sana mb
- Hapana
- Fanya hivi
#1. Fanya clean installation ya windows 10,
#2. Usifanye connection ya internet kwanza
#3. Run hii, DWS Lite, software na select
- Download hapa: https://github.com/Nummer/Destroy-Windows-10-Spying/releases
View attachment 1056788
- Ingia hapo kwenye settings, kisha rudi kwenye main Tab, na click hapo.
View attachment 1056791
#4. Activate windows kwa kutumia hii software, @ Re-Loader v2.4 ( Hii inauwezo wa kufanya activation wa matoleo yote ya windows pamoja na MS office )
#5. Weka antivirus yeyote utakayopenda, weka programs zako na endelea kutumia windows 10 bila shida.
Faida zingine za hii software:
- Utaweza kuokoa kiasi kikubwa cha DATA, sababu ukiwa na windows 10 na ukawa connected kwenye internet, GB 5 kuisha haichukui muda kutokana na windows updates na download zingine ambazo wewe huwezi monitor, ila hii software kwa kuwa ina modify pia HOSTS file, basi hizo downloads zinakuwa hazipo.
Sent by anonymous user

troublemaker 2019. all right received.