Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,703
- 22,583
Tumia gpedit.msc kuzima updates
Sisupport uuzwaji wa crack software kabisa maana gharama iliyotumika kupata ni ya bando tu. Otherwise uwacharge gharama ya huduma ya installationVyuma mkuu..
Yasni nitoe hela wakati kitu naweza pata buree.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Yangu niliichakachua baada ya kuona NCK crack haipigi kazi na baadhi ya cracked software. Hakuna window siipendi mpaka kesho kutwa km window 7 sbb haina feature nyingi na imekaa km gemu la nyoka.rudi tu 7 mkuu yaani limenitia hasara hapa sina hamu
Yangu niliichakachua baada ya kuona NCK crack haipigi kazi na baadhi ya cracked software. Hakuna window siipendi mpaka kesho kutwa km window 7 sbb haina feature nyingi na imekaa km gemu la nyoka.
Nimetumia Window 8, 8.1, 8.1 update na 10 (ila 10 ndiyo baba lao na sitahama hapo mpaka kesho kutwa). Nilirudi 8 baada ya Cracked software kukataa 10 lkn nikafanya mautundu mpaka sasa nipo 10 na inapiga kazi km kawa na pia natumia cracked software km kawaida.
mkuu nsaidie link ya kuishusha iyo window 10 rog rampageNilishusha windows 10 rog rampage iko poa sana. Hata kimuonekano haiko kama windows 10 ya kawaida. Kuhusu antivirus niliset mambo now yamekaa poa
mkuu nsaidie link ya kuishusha iyo window 10 rog rampage
getintopc.com
shukran mkuu![]()
Windows 10 Gamer Edition Jan 2019 Free Download
Windows 10 Gamer Edition Jan 2019 Free Download Latest OEM RTM version. It is Full Bootable ISO Image of Windows 10 Gamer Edition Jan 2019.getintopc.com
hahaa kitu ambacho kinawezekana kwenye windows 7 and 8
Niliweka nkaona ujinga, nimerud katka ulimwengu wa win8 nala maisha swaaafi na crackers zanguhahaa kitu ambacho kinawezekana kwenye windows 7 and 8