Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Hali si Hali nchini Tanzania.

Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.

Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa.

Inaelezwa kuwa, tangu Serikali hii kuingia madarakani kuna madili makubwa sana yanafanyacna Familia ya Rais Samia na watu wachache wanaomzunguka.

Inaweza wakasema wanafanya hayo kwa sababu ya shambolic ya Akaunti za Serikali na Taasisi zake ila inaelezwa kuwa ukweli ni kwamba wanafungia Mitandao ya Kijamii kuwazuia Watanzania wasione nyaraka zinazorushwa zinavyoonesha Nchi inavyotafunwa na watu wachache.
 
Mabeyo na genge lako mnaona sasa tamaa za matumbo mlipofikisha hii nchi? Wewe ni mkatoliki utaingia moyoni kwa kulisukuma taifa kwa mikono ya shetani
Kwa sasa nimewaelewa sana watu wanaomlaumu Mabeyo.

Tuombe sana Watokee Wazalendo JWTZ wafanikishe hili. Hii nchi inaliwa kwa kiwango cha kutisha na hawa elites wa CCM.
 
Watu wanaomba 15b ya 'kazi maalum'
Na Lugumi karudi jikoni kwa kasi anakula na mtoto wa Rais

Alafu mnasema sijui mna JWTZ na TISS wanalinda Katiba??? Mnasema mna TAKUKURU wanazuia Rushwa??

Hii nchi elites wa CCM na cycles zao wameshaifanya kuwa yao hakuna wa kuwafanya kitu si wapuuzi JWTZ wala TISS wote wanawaona maboya tu.
 
Hali si Hali nchini Tanzania.

Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.

Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa.

Inaelezwa kuwa, tangu Serikali hii kuingia madarakani kuna madili makubwa sana yanafanyacna Familia ya Rais Samia na watu wachache wanaomzunguka.

Inaweza wakasema wanafanya hayo kwa sababu ya shambolic ya Akaunti za Serikali na Taasisi zake ila inaelezwa kuwa ukweli ni kwamba wanafungia Mitandao ya Kijamii kuwazuia Watanzania wasione nyaraka zinazorushwa zinavyoonesha Nchi inavyotafunwa na watu wachache.
Wewe ni muongo watanzania wanaangalia taarifa za habari kupitia mitandao ya kijamii bila wasiwasi
 
Inaweza wakasema wanafanya hayo kwa sababu ya shambolic ya Akaunti za Serikali na Taasisi zake ila inaelezwa kuwa ukweli ni kwamba wanafungia Mitandao ya Kijamii kuwazuia Watanzania wasione nyaraka zinazorushwa zinavyoonesha Nchi inavyotafunwa na watu wachache.
Mboni mimi bila VPN napenya
 
Back
Top Bottom