Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
Naibu katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN).
Naibu katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN).
Ni mwalimu hapo Mlimani, na wala hana wadhifa wowote kisiasa zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN
Naibu katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN).
anaganga njaa.
Mstaafu, kwa hiari au kwa lazima?
JK anajaribu kumpika, lakini Dunia nzima itatucheka kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania. Mama kajaariwa kuwa na elimu nzuri, lakini uwezo katika fani ya Uongozi hamna kabisa. Hapa UN tunashindwa kujua sababu za kupwaya, labda hakuamini kushika nafasi kubwa kama ile au uwoga wa kuzungukwa na wazungu. Labda mjaribuni huko Bongo, udiwani kabla ya kumpendekeza Urais
Acha umbeya ndg, Migiro hakushindwa UN bali mkataba wake umeisha na yeye mwenyewe ameamua kurudi nyumbani, lkn sio kwamba eti ndo akae tu bila hata ya kutumia ujuzi alio upata huko kimaifa, eti kuna watu wanamuonea wivu urais 2015, na usijipe chati chati eti uko UN, wakati wewe ni mbeba masufuria ya mama lishe hapo manzese. hata hiyo UN yenyewe unaisikia tu, kwa sababu laiti ungekuwa unajua usingeandika uozo huo.JK anajaribu kumpika, lakini Dunia nzima itatucheka kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania. Mama kajaariwa kuwa na elimu nzuri, lakini uwezo katika fani ya Uongozi hamna kabisa. Hapa UN tunashindwa kujua sababu za kupwaya, labda hakuamini kushika nafasi kubwa kama ile au uwoga wa kuzungukwa na wazungu. Labda mjaribuni huko Bongo, udiwani kabla ya kumpendekeza Urais
Mstaafu au aliyemaliza muda wake?Naibu katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN).
Kuchangisha pesa kuna uhusiano na Cheo? Lowassa ana cheo gani Misikitini mbona anachangisha pesa?Lema ana cheo gani Chadema saizi mbona anachangisha pesa.
Lema ana cheo gani Chadema saizi mbona anachangisha pesa.
Kama wewe ni mchawi, basi kajipange upya, na kama unamlipa mtu kupiga bao, mtafute mwingine. Unaongelea wivu, wewe unaweza kuwa wa kwanza kwa kufikiri kila mtu ni mbeba masufuria.Acha umbeya ndg, Migiro hakushindwa UN bali mkataba wake umeisha na yeye mwenyewe ameamua kurudi nyumbani, lkn sio kwamba eti ndo akae tu bila hata ya kutumia ujuzi alio upata huko kimaifa, eti kuna watu wanamuonea wivu urais 2015, na usijipe chati chati eti uko UN, wakati wewe ni mbeba masufuria ya mama lishe hapo manzese. hata hiyo UN yenyewe unaisikia tu, kwa sababu laiti ungekuwa unajua usingeandika uozo huo.
Ingekuwa hivyo Dr Lipumba angepeta bongo, maana yeye ndio anamaujuzi yenyewe...............!By HAPPY MAKUKU
Acha umbeya ndg, Migiro hakushindwa UN bali mkataba wake umeisha na yeye mwenyewe ameamua kurudi nyumbani, lkn sio kwamba eti ndo akae tu bila hata ya kutumia ujuzi alio upata huko kimaifa, eti kuna watu wanamuonea wivu urais 2015, na usijipe chati chati eti uko UN, wakati wewe ni mbeba masufuria ya mama lishe hapo manzese. hata hiyo UN yenyewe unaisikia tu, kwa sababu laiti ungekuwa unajua usingeandika uozo huo.