musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 588
- 904
Wasalaam
Sio nia yangu kuwadharau lakini ukweli ukinambia umesomea mambo au Taaluma ya uandishi wa habari hasa hapa kwetu nakudharau sana
Ndio maana ni kitu kila mtu anaweza kufanya...wengi wanafanya kazi halafu ndio wanaenda kusoma...haya naongelea kwa muktadha wa nchini kwetu
Ni tofauti na nchi za wenzetu...juzi Gwajima katoa hoja nzito zinazogusa taifa...ajabu vyombo vimeanza kuripoti majibu ya hoja yanayoitetea serikali bila kugusia kiini
Ajabu zaidi wakati akina Balile wakisema sasa wako huru kuliko awamu zilizopita...ni sasa wanaonekana wafungwa wa kutia huruma kabisa
Don't waste your time in sijui Mass Journalism nk