Kwa Rais Magufuli tu - Must Read 2017



Kwa hiyo Watanzania wote 45m ni wafanyakazi na wana wakuu wa idara? Naona hata yeye mwenyewe JPM anafikiri kuwa kila mtu ni mfanyakazi na anapiga dili tu. Thinking while living in a cubicle!
 
Achana nae afie mbali yeye si bingwa ? Let him rott in hell.
 
Ni sababu hii tu mkuu au kuna zingine?
Mkuu, sababu aliyotoa NI MTAZAMO TU, ni kubwa sana, labda kama wewe si mtumishi wa uma au ni kigogo ama una mahusiano makubwa na vigogo.

Wafanyakazi wa chini walinyanyasika sana, uhamisho wa ovyo, kunyimwa safari, seminars, ovetime nk.
Kulikuwa na watu maalumu waliokuwa wakisafiri, wengine hawafai. Kulikuwa na watu maalumu wanoenda semina, wanapewa vitengo maalum vya ulaji, ukihoji unapata uhamisho. Lakini tangu zama hii imeingia hakuna safari za hovyo, na ikitokea anaenda mtu wa kitengo husika tena aliye mpetent. Maana kwanza lazima ruhusa inayoombwa ieleze kwanini mtumishi asafiri, itagharimu shilingi ngapi? Nini manufaa ya safari hiyo kwa taifa?

Hivyo, sababu aliyotoa NI MTAZAMO TU. ina mashiko, hivi sasa mnajadiliana na mkuu na anakusikiliza.

Kwa upande mwingine hata utendaji, umebadilika KAMBAKU! Kwani husikii raia wanafurahia wakienda maofisini? Wanasema watumishi wamebadilika sana, wanajituma.
 
Reactions: Ame
hahaha mkuu una utani wa ngumi, si kweli kwamba naomba kireja reja, ila ni kweli nina elimu kiduchu maana sina PhD. Kwa maana hiyo tu ya kutokuwa na PhD na si kingine.
Duh! Kwahiyo hivi sasa usipokuwa na Phd, elimu yako ni kiduchu? !
 
Kusema ule ukweli, hakuna mtumishi yeyote wa umma mwenye akili timamu anayempenda Magufuli.
 
Ushauri murua kabisa, mleta uzi umesemea mioyo ya walio wengi sana, hongera
 
Kaz mkuu kasimamisha kwa sbb ya uhakiki hewa. Mpaka uhakiki uishe watu watakuwa mabilionaire. NYIE SSM WANAFIKI SANA NA SLOGAN YENU. MNAHIMIZA WATU WAFANYE KAZ NA WAKATI KAZ ZENYEW MEZUWEKA UVUUNGUNI. WANAFIKI SANA NYIE.NCHI YA VIWANDA POOR SSM
 

Hizi kauli mbili tata sana..sijui tuiamini ipi..NI MTAZAMO TU anasema wafanyakazi sasa wanakula raha za ajabu..OMEL123 yeye anasema hali mbaya..hawa wote ni wafanyakazi nadhani wa Serikali..Ila mtoa mada kuna baadhi ya shauri zako ni VALID zina mashiko..tutamwambia Mzee JPM afanye mambo mazuri
 
Naomba namba ya JPM nijitoe mhanga nimfowadie haka ka walaka kazito sana, au nipe email take maana mimi sina cha kupoteza iwe milioni saba, kifungo au vyote viwili.
Mkuu umesahau option ya tatu kuwa ben saananed u need to reconsider
 
Kwa jinsi ninavyokusoma,nawe hujiamini,unaogopa kutimbuliwa maana unauma kiaina na kupoza kiaina,why not so straight?!!
 
Kum
Kumbuka alishasema muhimili mmoja umejichimbia chini zaidi.
 
Kwel we2 Ninja,kwa ujumla nimelipenda andiko lako lenye mashko na kama sizonje kwel anapitia jf achukue huu ushaur na akaufanyie kazi,nilienda mafinga kwa lengo la kufanya biashara ya mbao nikiwa na kijisent kidogo il niboost kijimtaj changu lkn kwa kuwa co mzoef ilinipasa nijifunze kwa waliowazofu,ktk vijiwe vyote nilivyopita walikuwa wakimwongelea mzee wa kaya jins alivyobana mzunguko wa pesa hasa kwa wafanyakaz ambao wanasema wazuiwa kukopa kwan kukopa kwao walikuwa wanajitahd kujenga na mbao zilikuwa zinatoka kwa kas lkn pia malori meng yalikuwa yanasafirisha mbao kwenda maeneo tofauti2 lkn pia walinishaur kama umekopa na unataka kufanya h biashara ktk utawala huu n hatar kwa pesa yako kwan kunautitil wa kod hyo unaweza kuuwa mtaj lkn nilijkaza kwa kuwaambia n mtaj wa shamba na sasa nataka kutanua biasha zangu kidogo wakanip mahope kuwa nicarry on na biashara lkn walikuwa bado wanasema ngoja 2subir 2020,sasa huyu anaesema kuwa magu anapendwa na weng sizan kama anamtakia mema! hal ilipofkia sio pazur.
 
Mtoa mada umenena huo ndo ukweli kama atasoma ujumbe wako ni vema atilie maanani.msema kweli ni mpenzi wa mungu nawe umesema kweli siyo kama wale wanaomchekea hali hawataki kusema ukweli. Big up for your opinion
 
Aisee nipeni Post box ya Ikulu niandike hii barua niitume kwa Mkuu.
 
Mie nadhani mngemshauri mbowe kwamba kama upinzani tunatokaje hapa....mh rais hukumpigia kura hivyo achana naye.
Nyie ndiyo wale nawaitaga wachumia Tumbo. Yaani ww ukishashiba Leo basi, akili zenu ni Kama hayawani, yaani wanyama coz hamna ufahamu.huyo mshauri ameshauri vizuri sana, ww ilitakiwa uongeze ushauri wako mzuri zaidi ili umsaidie kiongozi wetu Kama unamtakia mema.

Nyie ndiyo wale bendera fata upepo, ili mradi tu ushibe, hata ukilishwa matope. Yaani ulimi wako hausikii na wala huitaji ladha. Ni Kama chatu. Ww ni kumeza tu. Shauri yako!
 
Endeleeni kumsifia si zamu yenu sasa " kula nchi" ila uzuri Faru John hatabiriki muda wowote kibarua kinaota majani ndipo akili zitawarejea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…