Kwa Paroko wa Parokia anayosali Benjamin Mkapa na viongozi wengine wakatoliki CCM

Kumbuka hata askofu wetu Methodius Kilaini alivuta za Escrow ni bora tujikite kujiimarisha kiimani binafsi kuliko hawa viongozi wetu wa dini. Sio Mkapa tu, hata walioamuru Lissu amiminiwe risasi saizi wako kanisani wanasali na watasema tuwaombee
Me like u very much
 
..ni kweli viongozi watawala wa taifa hili wametoka katoliki....ukiachia wawili waislamu....Na kweli wapo hawa watawala wa wenye matendo maovu yasiyokemewa wawapo makanisani....ukiondoa baba wa taifa aliyekuwa mcha Mungu Na mwenye kumuogopa Mungu sana....hawa tuliokuwa nao miaka hii wanahitaji kukemewa na kanisa...kanisa katoliki liache unafiki wa kuwakumbatia na kuwaombea bila kuwakemea.....lakini hili naona linachsngiwa na kanisa lenyewe kujaa kashfa za maaskofu wao kutuibia pia hela zetu escrow...
 
Back
Top Bottom